Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,621
- 6,511
Sitakwenda kwa undani sana kwenye sikukuu hii ya Halloween na asili yake, hilo unaweza kugoogle. Kawaida huko duniani, sikukuu hii husherehekewa tarehe 31/10 ya kila mwaka.
Ninachoona ni kwamba tarehe 29/10 Tanzania inaenda kuanzisha sikukuu inayofanana kwa aina fulani na Halloween.
Katika utamaduni wa Halloween, ni siku ambayo watu wanavaa vinyago ili kutisha na kufukuza roho chafu na mashetani.
Katika kusherehekea sikukuu hii ya Halloween, Watanzania watazunguka mitaani na kuulizana "trick or treat?"
Je, watapewa biskuti na pipi kama "treats" au watalazimika kuperform "tricks" kwa wale watakaowanyima pipi?
Kiukweli Tanzania haipo tena katika crossroad bali ipo katika dead-end.