Ocean kiss furniture

Ocean kiss furniture

Joined
Jan 28, 2015
Posts
13
Reaction score
2
ocean kiss furniture ni campuni inayotengeneza furniture mbalimbali kama sofas,tv table,coffee table,bed,kitchen cabinet na mengineyo mengi sana
karibu katika office zetu ambapo makao makuu ni tabata matumbi,pia tuna brances mbili ambayo ni morroco na urafiki.
karibuni sana

call us :255 752877777
 

Attachments

  • 2.jpg
    2.jpg
    34.7 KB · Views: 187
  • 4.jpg
    4.jpg
    119.1 KB · Views: 196
karibuni sana

call us :255 752877777


Mkuu hivi unadhani JF inaishia Bagamoyo Road sijui Mwai kibaki road kwamba watapita wakaiona Ocean Kiss furniture au watapita pale urafiki na kuona nini mnafanya?

Damn...... feel like unatangaza sehemu ambayo watu hawajui
  • Ocean kiss furniture ni nini?
  • Mnapatikana wapi?
  • Your uniqueness? why mtu asiende Keko furniture au Living Room etc aje kwenu?
Mnapatikana wapi Physical address?

Lakini pia mkono mtupu haulambwi shekheeee jitoe tukutoe lipia hata tangazo "Banners hata 2" ziwe zinafanya transitions kwenye page humu ndani yakheee sasa wewe wataka tu kula, hutaki kuliwa?

Hebu fanya kuchek na Invisible uweke banners hapa bana, usipende kwa sadara mkuu!
 
duuh.. ndo tangazo limeisha?

i could fire you at an instant..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom