tatizo wabongo wanajifanya wana hasira,ukigonga ukakaa watakupiga,kuna watakaochukua vioo vya sight,pochi,simu e.t.c.so sometimes ni beta kukimbia
tatizo wabongo wanajifanya wana hasira,ukigonga ukakaa watakupiga,kuna watakaochukua vioo vya sight,pochi,simu e.t.c.so sometimes ni beta kukimbia
how come risasi itoke kwenye tairi hadi makalioni? Huyo kamanda alikuwa kwenye engo gani alipokuwa akipiga hiyo risasi?

how come risasi itoke kwenye tairi hadi makalioni? Huyo kamanda alikuwa kwenye engo gani alipokuwa akipiga hiyo risasi?

Mimi pia hapa sijapaelewa, tairi ya mbele na makalio!
Hayajakukuta, tafadhali jaribu kubadili mtazamo wako juu ya dhana ya uhuru wa polisi kufanya chochote watakavyo bila mipaka.:grouphug::mod::A S-rose:Hongera OCD huo ndiyo uzalendo,hata kama siyo kituo chako cha kazi,ukiona uhalifu chukua hatua mtuhumiwa akiresist use reasonable force hiyo ndiyo falsafa ya usalama ,hata ungeua hakuna shaka kuliko kuacha mtuhumiwa aende untouched:A S-rose:
OCD wa Kibondo, eneo la tukio Morogoro, maelezo hayaridhishi sana.
Hii ni hadithi ya funika kombe mwanaharamu apite.
There is more in this story more than what meets the eye. An independent investigator should deal with this case.

hapo ndipo muhimu zaidi kuliko hata hiyo risasi ya makalioni. nchi nyingine ukigonga na kukimbia bila kujali matokeo ya ile ajali, basi unahesabiwa ulikusudia kuua. nimewahi kuona mtu anamgonga mwendesha pikipiki, akaacha gari na pikipiki pale ili polisi waje kupima, akakodi taxi na kumkimbiza mpanda pikipiki hospitali huku yeye mwenyewe akiwapigia simu polisi na kuwaeleza kilichotokea na kuwaelekeza hospitali alipompeleka majeruhi!

wenzetu wanajali utu kwanza!
OCD ni mtu wa usalama, huyo jamaa hakupaswa kukimbia! Hii stori imekaa kimtego sana, na maelezo tunayoyapata humu ni ya hearsay, mpaka hapo tutaposikia kauli ya huyo mwalimu na OCD mwenyewe (mahakamani). Huenda ticha ni mkosaji na OCD ni mwanausalama hivyo hapaswi kufuma macho mhalifu anatimua, ama huenda kuna ishu nyingine pasono kati ya wawili hawa!

Hongera OCD huo ndiyo uzalendo,hata kama siyo kituo chako cha kazi,ukiona uhalifu chukua hatua mtuhumiwa akiresist use reasonable force hiyo ndiyo falsafa ya usalama ,hata ungeua hakuna shaka kuliko kuacha mtuhumiwa aende untouched
Mkuu, i am in entire agreement with you. Any sober investigator will start with your last sentence.there is something personal between them.OCD ni mtu wa usalama, huyo jamaa hakupaswa kukimbia! Hii stori imekaa kimtego sana, na maelezo tunayoyapata humu ni ya hearsay, mpaka hapo tutaposikia kauli ya huyo mwalimu na OCD mwenyewe (mahakamani). Huenda ticha ni mkosaji na OCD ni mwanausalama hivyo hapaswi kufuma macho mhalifu anatimua, ama huenda kuna ishu nyingine pasono kati ya wawili hawa!
how come risasi itoke kwenye tairi hadi makalioni? Huyo kamanda alikuwa kwenye engo gani alipokuwa akipiga hiyo risasi?
Kwa nini tume iundwe wakati hili ni kosa la jinai. Huyo OCD hakuwa na sababu ya kupiga risasi mtu aliyefanya kosa la usalama barabarani.Mimi naona iundwe kamati kama ile ya kamongo-tarime, gongo la mboto and mbagala explosions, mwananyamala hspl, muhimbili hspl, samunge-loliondo, arusha (CCM vs CDM), na kama ambavyo nyingi zimekuwa zikiundwa.