William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Lekibamiazzz
Kama mwanaume yanini kumuanika mwanamke wako na madem zako uliokwishakua na mahusiano nao that much?
Will that make kibamiaz go away?Never!
Mwanamke kakuzalia watoto,ulivyo so petty umeenda kumuandikia kitabu cha kumdhalilisha of which uliyoyatoa mle mwote sio ukweli 100%,kuna mahali umeongeza au kupunguza kitu kukujengea wewe image kua ni malaika zaidi yake!
Halafu,cant you just move on?Mlishaachana,yanini na mavitabu?Why cant you just shut the F up and move one with life and leave her alone maana still ana maisha ya kuishi yaliyobakia?Unajinasibu ni kitabu cha maisha yako,can you just remove the pages concerning her kuonesha u have decency ya ku-keep private the life of a woman who gave you kids?
Ninachoona bado hujamove on,na huo ndio ukweli....
Kuna shida sana unayo,kuna sababu kubwa sana anayo yakukuacha..achana nae mkuu move on mkuu...
The king of all bongo social networks........mjomba wewe ni mwili jumba ila hutaki challenges........hahahaha..... kitu chochote unachosema unataka watu waseme NDIO......nishakupa challenge moja ya hatari insta ukanipiga block [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hoja ni mwanaume kujitangazia ufalme wa kipato zaidi ya wanaume wengine ambao infact hajui their incomes in real numbers...ni utoto wa hali ya juu!
Si kukutukana mzee uliandika facts za uongo nikakuchallenge......you didn't accept mzee ukaona easy way ni kuni block........hahaha le akili kubwaz gani unaogopa challenges[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]- Nimekuambia Instagram ni uwanja wangu wa biashara ukitaka kuandika matusi andika huku please!
le Mutuz
1. Well, kulipwa majuu haina ubishi ni matendo ndio yanazungumza sio maneno maneno, ninarudia tena waliokua wananichukia ni wanyonge wa akili cause nilikua na marafiki pia na hasa Peter. Nilipofika walinipeleka kwenye kazi ya kule matahira na kulea wazee nikagoma na kuondoka, hili peke yake lilikua tatizo kubwa sana.
2. Kazi ya kuendesha malori ya Harzadous Material haikuwa sawa na kazi yoyote ya kawaida kwa wazamiaji, yes ukiamua kuiandika kizandiki na kimbeya mbeya kama unavyofanya ni kweli inaonekana ni ujinga fulani ila niliokua ninaishi nao kule wanajua vizuri na wala sina sababu ya kubishana na wewe on that.
3. Kama ninataka kukuelewa ni kwamba ndoa zote Duniani hufwa kwa sababu wanaume wamewashindwa wanawake wao kitandani? hahahahaha
4. Nimesema mimi ni binadam mpungufu ila sikuwahi ku cheat in 15 years of my ndoa, sikuwahi kumpiga, wala kumtukana hata kwenye Counselling walimuambia wamezoea serious cases kama za Kupigwa mwanamke, kucheat, na MWanaume kua Gay none of these were his issues wakamuambia huna tatizo, tatizo lake namba moja lilikua natumia muda mwingi kwenye Internet hahahahaha that was a big joke
5. Well, my ex ameniandika sana humu na kwa muda mrefu sana, nashangaa hujamsoma pole sana nenda kwenye kazi zake uone, hata yeye anajikanyaga kanyaga kama wewe ndio aakaanza kumsahbulia marehemu mama yangu, ni kwa sababu anajua hana sababu za msingi against me ila ulikua ujinga wake
- Now kama kweli I was that bad ananitafutia nini mpaka leo?
le Mutuz
- hahahaha umesema nimeandika uongo 100%, kwamba hakuwa deported? Sasa ngoja nikuambie ukweli ambao sikuuandika nilipomuoa aliondoka Belgium na madeni kibao ambayo nilikuja kulazimishwa kuyalipa tukiwa honemoon, hahahaha nikiamua kuandika ukweli wote mkuu utalia machozi ila karibu sana!
- Kuhusu ku move on wala hata sina sababu ya kujibu ni matendo yangu na yake ndio yanajisema wazi nani haja move on hahahahahaha
le Mutuz
Tanua akili, jua maana ya vijiwe usikariri huu ni uwanja huru kufikiri fikra za mwingine kwa kuwa tu hakushabikii ni ufinyu au akili ndogo.Majuu hamna vijiwe utakufa njaa
- hahahahahaha tatizo unaongea maneno tu hujui ukweli wa majuu ungejua ungenyamza tu hahahahahahha
le Mutuz
Jifikirishe kwa mapana, uonekane unafikra ,ukikariri akili itadumaa, hili ni jukwaa huru linabeba wanaowafahamu na wasiowafahamuMajuu hamna vijiwe utakufa njaa
Ila mzee baba kuhusu wanawake nakubaliana na wewe wanawake ni wazushi sana. Yani unaweza ukajitoa kwake lakini akakuchafua sana1. Well, kulipwa majuu haina ubishi ni matendo ndio yanazungumza sio maneno maneno, ninarudia tena waliokua wananichukia ni wanyonge wa akili cause nilikua na marafiki pia na hasa Peter. Nilipofika walinipeleka kwenye kazi ya kule matahira na kulea wazee nikagoma na kuondoka, hili peke yake lilikua tatizo kubwa sana.
2. Kazi ya kuendesha malori ya Harzadous Material haikuwa sawa na kazi yoyote ya kawaida kwa wazamiaji, yes ukiamua kuiandika kizandiki na kimbeya mbeya kama unavyofanya ni kweli inaonekana ni ujinga fulani ila niliokua ninaishi nao kule wanajua vizuri na wala sina sababu ya kubishana na wewe on that.
3. Kama ninataka kukuelewa ni kwamba ndoa zote Duniani hufwa kwa sababu wanaume wamewashindwa wanawake wao kitandani? hahahahaha
4. Nimesema mimi ni binadam mpungufu ila sikuwahi ku cheat in 15 years of my ndoa, sikuwahi kumpiga, wala kumtukana hata kwenye Counselling walimuambia wamezoea serious cases kama za Kupigwa mwanamke, kucheat, na MWanaume kua Gay none of these were his issues wakamuambia huna tatizo, tatizo lake namba moja lilikua natumia muda mwingi kwenye Internet hahahahaha that was a big joke
5. Well, my ex ameniandika sana humu na kwa muda mrefu sana, nashangaa hujamsoma pole sana nenda kwenye kazi zake uone, hata yeye anajikanyaga kanyaga kama wewe ndio aakaanza kumsahbulia marehemu mama yangu, ni kwa sababu anajua hana sababu za msingi against me ila ulikua ujinga wake
- Now kama kweli I was that bad ananitafutia nini mpaka leo?
le Mutuz
Hebu nieleweshe hiko kijiwe ukichosema au cha whatsapp group we sio pekee yako unayeishi ulayaJifikirishe kwa mapana, uonekane unafikra ,ukikariri akili itadumaa, hili ni jukwaa huru linabeba wanaowafahamu na wasiowafahamu
Kila sehemu kuna vijiwe vya aina yake AMKA
Hata ofisini kama mnaacha kufanya kazi na kupiga soka ujue hicho ni kijiwe na muendelezo wake. Majumbani,mtaani,hospitalini nkHebu nieleweshe hiko kijiwe ukichosema au cha whatsapp group we sio pekee yako unayeishi ulaya
Mimi habari za wabongo sizijui.
Bro Leo umenikosha sana. Tatizo wanajamii baadhi yao wamechokaje kuwaza. Muda wote wanawaza ya wenzao tuu.1. unatumia ID feki, in other words hatukufahamu kabisa , mwenzio anajulikana na unajua ni nani na came out boldly to write the facts, so wa kuja kupinga ni aliyekuwa mkewe
2. haujaelewa chanzo cha ndoa kuvunjika, (ulitakiwa kuuliza, au soma tena)
3. umefanya vizuri sana kuuliza alikuwa anachukiwa kwa kosa gani -hongera
4. obvious....na uka conclude, umeishajibiwa swali? obvious ume fanya citation ipi? basis ya conclusion zako ni nini? ( refer waliomchukia, na angaia na wewe unachofanya, haoni mnaangaukia kapu moja), wivu, chuki na predetermined judgement! wabongo wengi mko hivyo ni wachawi
5. who is bashite? anaingia vipi kwenye hii story?
The fact that umefuatilia story yake mpaka hatua ya sasa, ni uthibitisho tosha kuwa ubongo wako, energy yako, uwezo wako na muda wako uli u dedicated humbly to Lemutuz!!! kama game hapa mkuu umejidhalilisha sana, unafuatilia story ya mtu, kuanzia A to Z, kuliko quran wala biblia, wakati unafuatilia ulikuwa peke yako ( tena ulikuwa mpaka unakesha!!)...unataka sasa uanze kumponda kwa kutafuta platform ya haters wengine kama wewe waje tu!!
Imagine unafuatilia hadithi ambayo wala haukuwahi kujua kuwa itakuja, mshukuru ame ku keep busy!
Mbona kaandika vingi mkuu, umeona eneo hilo tu??
wewe ni mtumwa wa kila kitu, kwenye brain umeshaingia tunduni umesoma weeee! halafu unataka tuchangie hisia zako
looser
Comments lazima ziwepo na usipende kupangia watu nini cha ku comment, angekuwa hataki comments basi angefungia ndani historia yake. Usijikute mjuaji mkuu acha watu watoe maoni yao hata kama huyapendi baadhi ya hayo maoni.hauwezi ukasoma story ya mwanaume mwenzako, kuanzia mwanzo mpaka mwisho kisha ukaja kuanzishia thread hapa!! ebu fikiria akili hiyo, ya kike!! vijana mna vi element vingi sana vya ukikekike, tutawafundisha mtu at least mkivaa suruali muonekane mnafanana na wazee wenu
Nakazia na mm1. unatumia ID feki, in other words hatukufahamu kabisa , mwenzio anajulikana na unajua ni nani na came out boldly to write the facts, so wa kuja kupinga ni aliyekuwa mkewe