Yah unaweza kudownload app ukaplay file lolote ambalo simu yako haisuport ila kuplay file na hadware (simu) ni vyema zaidi kuliko kuplay na software (app). Ila nafkiri simu zote za android zinakubali mp4, sina uhakika kuhusu flac.
Kuhusu hao obi, opinion yangu achana nao. Usinunue simu zenye brand isiojulikana sababu hakuna kipaji cha kutengeneza simu, ili uweze kutengeneza simu inabidi uajiri maelfu ya mainjinia na utoe matrilioni ya hela za research kupata kitu kizuri. So hivyo vikampuni vidogo vinanunua tu simu china zisizo na brand na kueka majina yao juu,