Obd ii-on board diagnostic system,kifaa kipya ndani ya dar es salaam kwa gari yako.

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Kwa msio elewa

On-Board Diagnostics, or OBD, is an
automotive context, is a generic term referring to a vehicle's self-diagnostic and reporting capability. OBD systems give the vehicle owner or a repair technician access to state of health information for various vehicle sub-systems
.

wadau wa JF
Nimeleta kifaa hiki ili kuwasaidia wale wenye magari ambao huwa wanapata tabu sana kuelewa tatizo la gari lake pindi lipatapo tatizo.na hii huwapa tabu sana mafundi kugundua tatizo la gari yako na kuanza kuhisi chanzo cha tatizo husika

huna haja ya kuhangaika,nimeleta kifaa kinachoitwa SA-200,Kifaa hiki kinafanya OBD ya kila aina ya gari hadi zile kutoka JAPAN
unaweza kuwasiliana nami kama unahitaji na bei zetu ni nafuu sana tumia director@ihamsolar.com

bod.jpg obd.jpg OBD2.jpg
 
Back
Top Bottom