Obama's host German Chancelor Angela Merkel

Hapo ndipo namfurahia first lady anajuwa nini cha kufanya na wakati gani na nini kina mfanya awe na mvuto...
 
hivi huyu mtu mwengine ndo mume wa Angela? Kuwa first Mr kazi kweli kweli.
 
Asante, world's first lady, beautiful mama, ana haiba ya kike, do, Mungu anajuwa pa kuweka kila kitu, Unapendeza dada.
 
angekuwa wa kwetu hapa angejishindilia mikanga mpaka basi utafikiri katoka kujifungua ...agghhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…