Obama: Trump hatakua rais wa Marekani

Obama: Trump hatakua rais wa Marekani

eeh Mungu mpitishe Trump alete jambi jambi huku Africa
 
Obama ana kura moja tu.hivyo wamarekani wataamua wenyewe nani wanamtaka. Kama wamehalarishwa ndoa za jinsia moja kwanini washindwe kumpa kura Trump anayezungumza ukweli bila kuupamba?
Hebu ni ukweli gani huo? Kumbuka yanayosemwa kwamba alisema kuhusu Afrika si kweli. Ni porojo za magazeti fulani. Lete credible source na huo ukweli aliousema.
 
eeh Mungu mpitishe Trump alete jambi jambi huku Africa

Trump akiwa Rais Marekani, Mawili, akae chini afate ushauri wa watu wanaojua Utawala na Nchi na Siasa za Kimataifa. Au Mbili aingie Kichwa kichwa kufanya mautumbo anayosemasema sasa, aharibu taifa lake chini ya siku 100. Na Pia awashe dunia moto utakaobadilisha siasa za dunia for the waste! Hilo naweza Kuapa Kwa maisha yangu!
 
Pole, nafikiri unaomba jambo ambalo hulijui kabisa. Soma sawasawa habari za Trump siyo kwenye magazeti ya udaku.

Trump Namsikiliza Kila siku, Na Nimemuona Live, Ni Mtu mwenye majivuno, charau, anaubaguzi wa rangi (Ni Kaburu aliyekunywa steroids) Ni Mjinga wa Mambo mengi sana. Hana adabu wala Staaha. Siku Muja Hilary alitoa uthuru katika debate kwenda bathroom (Msalani) Trump Likafuungua domo lake chafu na Kusema aliyoenda kufanya Hilary chooni yanatia Kinyaa. Dharau gani kwa mwenzako na Zaidi sana Mwanamke. Kama Wamarekani wakimchagua Trump Kuwa Rais Nitaamini Kuwa Marekani wanaweza wakamchagua hata Mbwa literally! Ikiwa tu Mbwa huyo akiweza kuongea na kubwatuka ni jinsi gani asivyowapenda Waafrika, Walatino, Na Jinsi ilivyovizuri Kuuwa kila mtu sehemu Nyingine za Dunia na Kuchukua Raslimali zao.

Ushahidi;
A joke, but the Next is serious





Sikiliza Madharau na Majivuno ya Trump
 
Back
Top Bottom