Obama to visit Africa...snubs Kenya again!

Obama to Visit S’Africa, Tanzania, Rwanda, Considers Stopover in Nigeria

17 May 2013

Font Size: a / A





250912N.Barack-Obama.jpg

President Barack ObamaBy Paul OhiaPresident Barack Obama of the United States is billed to begin his second tour of Africa at the end of June with visits to South Africa, Tanzania and Rwanda.He will however make a stopover in Nigeria, during which he will hold bilateral discussions with President Goodluck Jonathan and other top government officials.The initial plan for the African tour was for Obama to spend two days in Nigeria, but owing to insecurity occasioned by the terrorist activities of the Islamic militant group, Boko Haram, the plan was reviewed and he is now expected to spend a few hours or one day in the country.Sources from the presidency added that security situation during Obama’s visit would be paramount and if there is any reason to doubt Nigeria’s unpreparedness to host the US president, his visit to the country might be cancelled outright.Obama’s maiden visit to Africa took him to Ghana in July 2009 during which he met with President John Atta Mills, now deceased, and delivered a speech at the Ghanaian parliament in addition to touring a former departing point of the trans-Atlantic slave trade, the Cape Coast Castle.The non-inclusion of Nigeria on his itinerary in 2009 was widely regarded as a snub and a subtle criticism of the country’s leadership, a perception, which the then Secretary of State, Mrs. Hillary Clinton, dismissed.She had said Obama’s choice of Ghana was “meant to tea-up” US relationship with sub-Saharan Africa, and the choice should not be interpreted in any other way.During his visit, the two nations are expected to discuss issues centred on trade relations, security and human rights.
Tags: Featured, News, Nigeria, Obama, Rwanda, S’Africa, Tanzania

Obama to Visit S’Africa, Tanzania, Rwanda, Considers Stopover in Nigeria, Articles | THISDAY LIVE


Obama this, Obama that, I personally dont give a damn what the guy does, I was never his fan to begin with #uhuru /Ruto's either# but I stand for my country, He will never bring food to my table, he will not get me paid and most definitely he wont get me laid. Don't give us that bullshit that Kenya's future is bleak, nobody knows the future, its as unpredictable as they come..#Be quick to alert Nairobi if it rains honey when he touches down in Dar#
 
But make no mistake. Kenya may be corrupt. But it will forever remain a land of president Obama’s ancestors. Parents may be poor, indecent or criminals. Their negative social status can never negate their parenthood. Parenthood is a bond that transcends social status. It is a relationship that is bound by un-breakable DNA. Under no circumstances should a child disrespect his parents, at least not in Africa. Snubbing or looking at your parents disdainfully is in essence disrespecting oneself. That’s what US president Obama did. By snubbing Kenya again, he disrespected himself.
 
Ata Gadaffi alijaribu kutumia lugha inayofanana na hiyo lakini kichapo alichokipata toka kwa wamarekani hatokuja kukisahau. Ati Obama ni lazima aheshimu anakotoka, duhu! Hawa wakenya sasa hii ni too much.
 
Hiki ninacho kiona kwa baadhi ya wakenya kulalamikia nchi yao kutokuwa kwenye orodhaa ya nchi atakazo tembelea Obama ni deko. Bila kuondoa uwezekaano wa kuwa hii ni safari ya kimkakati kaabisa (waabongo tusichekelee), wakenya wanapaswa kumuelewa Raisi Obama na kujiweka katika "viatu" vyake. Sawa ana damu ya wakenya lakini yeye ni Raisi wa US, nchi ambayo bado haijaupiga teke vilivyo ubaguzi wa rangi. Safari yake Kenya ingeweza kuwa na implications nyingi sana bila kusahau jinsi watu wa marekani walivyokuwa critical. Wakenya wana Raisi wao. Obama ni Raisi wa marekani. "Watulize ball"; atakwenda Kenya akitoka white house (the correct way)
STRICTLY THIS IS MY POINT OF VIEW BINDING ON NO SOUL
 
Ata Gadaffi alijaribu kutumia lugha inayofanana na hiyo lakini kichapo alichokipata toka kwa wamarekani hatokuja kukisahau. Ati Obama ni lazima aheshimu anakotoka, duhu! Hawa wakenya sasa hii ni too much.

Habari mkuu

Umeona ile nchi ya Libya imekuwa nchi ya DOMOkrasia sawa na USA.
 
Obama bado ana hasira. Mjomba wake, Odinga ameukosa urais wa Kenya.

Akiwa Tanzania, Obama takuja Kenya kwa Chopper ,katika ziara isiyotangazwa ya muda mfupi, kumsalimia bibi yake kijijini.
 
if I may ask, is this the last Obama's tour to Africa?!!! if not then why the fuss?!!, maana sijasikia mahali amesema hatovisit Kenya kamwe.
 
Lol, lol, after the much awaited post election violence that never came to pass (yes, geza and team used to preach on how divided kenya is and were waiting to celebrate an election violence) it doesn't come as a surprise that geza and team would pick up an issue that doesn't require attention, make a mountain out of it and use it to bash Kenya. You guys are seriously jokers lol. I can't believe the hate you're spewing here and yet ironically calling Kenyans hateful people.
All in all, don't celebrate too much, you can never depend on other people to build your economy - only you yourselves can build your economy. You might get visits from all the European heads of states but that won't change a thing if you don't develop your economy yourselves. infact they might just use you and dump you. After all Tz has always received more state visits than Kenya since independence but look at their economies.
Cheers guys.
 
tanzania has alot more natural resources than kenya. obama and the chinese need those things so bad. when you combine that + a sleeping nation = maximum exploitation.
 
Unajua ndugu zangu Wakenya huwa wanapenda kujifananisha na Tanzania hawajui kuwa ikitokea tukapata theRIGHT LEADERS watakuja soma plate number tuu!
We have kila kitu that can make US the richest nation in Africa no wonder Obama ameligundua ilo na nyomi ya mtu kama 1200 anakuja nayo kuja daka fursa za uwekezaji!
 
Nikatize huu mjadala niseme tu jambo muhimu sana....jamii ya kimataifa wanafanya
mambo haya ya kutumia uhasama wa zamani kwa kugonganisha baadhi ya viongozi
barani kwa busara sana na kwa manufaa yao wenyewe japokuwa kiuchumi na kihali
waafrika tunazidi kuzorota...tunajua pia wakenya walipoteza maisha yao kabla mkoloni
kuondoka madarakani... (kwenye mkoa wa kati, bonde la ufa na sehemu za magharibi
ya kenya, na pwani)...cha kustaajabisha ni mambo haya yanatekelezwa na
muingereza na marekani.

Hivi OBAMA yuko ziarani, lakini ni wachache sana katika mataifa anayoyazuru
wanatambua umuhimu wa safari yake kwao. Tena usisahau shughuli za mchina
zinamnyima mmarekani usingizi na itachukua mmarekani kila awezalo kukatiza
mchina analotekeleza barani EAC...mzungu kwa kawaida hapendi mwafrika
kupata maendeleo kwenye viwanja mbalimbali....
....miundo mbinu, upanuzi wa viwanda nk..kwa sababu angependa awe muuzaji
wa rasilimali tu.
Safari za rais wa marekani...mbona tusijiulize kwa nini haipatani na pingamizi
kama afrika ambapo vyombo vya dola vinapeperusha pingamizi. Ziara yake ina uhusiano sana na
STRATEGIC INTERESTS ZA MAREKANI AFRIKA MASHARIKI inayofichwa
ndani ya matamshi kama 'bilateral trade patnerships'.. Kwa kifupi mambo haya yana uhusiano....

Mahali ambapo rais wa marekani OBAMA kuzaliwa kwake na kulelewa kwake ina mvuta
nikuvute. Wengi husema ni indonesia au hawaii...na kule hakukutana wala kuelewa
misingi ya kikabila ya kenya...Hata lugha yenyewe ya asili yake haielewi. kwa mkenya wa
kawaida ziara ya OBAMA haina mashiko kwao ...Inasemekana Afisi ya wizara Obama Snr
alipokuwa akifanya kazi ilipata ugumu kutoka kwa utawala wa kenyatta Snr, na pia
inasemekana Obama Snr alikuwa na matatizo ya kibinafsi mojawapo kulewa chakari..
ambayo yalimwandama mpaka alipoelekea kupata afueni kule marekani..Je OBAMA jnr
anatambua haya yote. Yazidi kutuonyesha kuna uhusiano kati ya familia ambazo zina
historia ya kushika madarakani na kungangania madaraka kati ya baadhi ya hizo familia...
...na tena migogoro ya kihistoria yamedhihirisha wazi haishirikishi baadhi ya wananchi
wakenya wa kawaida licha yao kuwa ndio wanaoathiriwa pakubwa inapotekelezwa na
wanasiasa.....msukumo wa wabunge kenya kudai nyongesa zaidi inaturudisha nyuma kama taifa..

wakoloni walilazimisha haki miliki zote za rasilimali mikononi mwao kupitia mauaji
ya jinai, vitendo vya ughaidi, ukiukaji wa haki za binadamu...cha kusikitisha ni
tayari miaka hamsini baadaye mambo haya yanasahaulika huku waafrika
wakiendelea kuuana ka misingi ya siasa. Itakuaje leo hii watumie ICC na
UN kufikia malengo yao kutunyanganya rasilimali. Ni nani anayewakubalia
hawa na faida gani wanapata???...wananchi wana njia ya kufaidika kutokana
na hizi rasilimali au zinasaidia nani???...haya ndio maswali ya kuulizwa...
utapata mjinga akiniuliza maswali haya yameulizwa miongo kadha bila
majibu.... bila kujua uchumi wa dunia unaporomoshwa na mataifa
kama marekani....Badala ya kujificha chini ya bango la taifa eti kenya Tz
au Ug tutafute rukhusa kuthibitisha kwa nini sasa africa tunazidi pitia janga
kubwa uongozini......na EAC na mataifa yana taaluma.

lazima tujiulize mkoloni alitaka kuCONTAIN waafrika kwenye kambi za wakimbizi
kwa malengo gani??...enzi hizo walikufa hawakuwa watu...?? au kuna jamaa
amelipwa mahali kusahau au kutupa ushahidi??... Tusisahau mambo haya hivi karibuni..
 
Ata Gadaffi alijaribu kutumia lugha inayofanana na hiyo lakini kichapo alichokipata toka kwa wamarekani hatokuja kukisahau. Ati Obama ni lazima aheshimu anakotoka, duhu! Hawa wakenya sasa hii ni too much.

usema wako haubadiliki
 
How are we expected to react to this? Congratulations Geza, your uncle is on the way.


It is easy to explain why Obama would skip Kenya on this trip. The guy does not want to be seen visiting Kenya while the country has an indicted leader. Thats not rocket science!

Having a president and a deputy who are indicted for commuting crimes against humanity says a lot of negative things about a country. The ICC tag will not allow a sitting US president or any other western leader to be seen in public with Uhuru or Ruto for a very long time. Obama's visit to Kenya would have earned the country millions of dollars in tourism revenues and by shunning Kenya Obama has sent a negative message about Kenya to the rest of the world.

Now react to that!
 
Hawezi kwenda kushikana mikono na watu ambao mikono yao imejaa damu...report ya uchunguzi waliofanya wao wenyewe inaonyesha rais na makamu wake waliusika na machafuko ya 207..sasa hapo mnalaumu nini wakenya?
 
Back
Top Bottom