Obama hataenda mikumi tena kwa sababu Obama anataka sniper wamlinde asije uliwa na wanyama wakali.Na sababu ya safari yake ni family vacation au? .Washington post walipata leaked information kwamba trip ya Obama ita cost almost 100 million dollars .Mambo ya Obama ata cancel trip nzima let's wait and watch .