Kwa maana hiyo waislamu hawatakiwi huko waache ubaguzi wa kidiniooops hawa jamaa wameanza tena kumchafulia kijana wetu lakini atashinda tu.
That was stupid but ndio siasa za wenzetu wenye akili za Mtikila.
The New Yorker wanatumiwa na Republicans.
Wamemuweka Obama katika conundrum. Wamemchora vibaya (sio muislam, bali kama Muislam terrorist) na wamemuweka mahali ambapo inabidi awakemee kwa kumchora vibaya na kuendeleza bias gains Islam.
Obama angesema awakemee tu bila kusema wamewaonyesha waislam vibaya, angeonekana si mtetezi wa wanaoonewa.
Sasa Obama kasema hivyo, middle America huko wanaona "jamaa mbona anawatetea sana hawa, au kweli jamaa ni sympathiser nini?"
Shame on The New Yorker, Im glad machale yalinicheza a couple years ago na siku subscribe, ingenibidi kusitisha subscription.
Kuna ukweli kwamba Obama may not want to be associated with the Muslims since he knows quite well they would endanger his company with his middle name being HUSSEIN.
One time I watched a Tyra Banks Show walikuwa wanaongea about racism and one Black akasema she would like to have a muslim sister in law since the husband would just blow any man away who would come after her and so many other nasty comments were made.Sasa you can imagine being associated with such a group of people.I do not have anything against Muslims ila pale ambapo Obama ataanza ku sympthasize with them ajue that is the end of him.