Obama says New Yorker insulted Muslim Americans

BadoNipo

Senior Member
Jul 4, 2008
170
28
This illustration provided by The New Yorker magazine, the cover of the July 21, 2008 issue by artist Barry Blitt, shows Democratic presidential candidate Barack Obama dressed as a Muslim and his wife as a terrorist. The magazine says the cover is meant to satirize the use of scare tactics and misinformation in the presidential election to derail Obama.

You know, there are wonderful Muslim Americans all across the country who are doing wonderful things," the presidential candidate told CNN's Larry King. "And for this to be used as sort of an insult, or to raise suspicions about me, I think is unfortunate. And it's not what America's all about."

Obama blamed himself for not being forceful enough in challenging some of the rumors about him, including that he is Muslim. Obama is Christian.
 
Attachments

  • obama.jpg
    obama.jpg
    14.6 KB · Views: 47
That was stupid but ndio siasa za wenzetu wenye akili za Mtikila.
 
ooops hawa jamaa wameanza tena kumchafulia kijana wetu lakini atashinda tu.
 
FDR Jr,Ipole,Chuma,Kevo,bado-nipo,

..mimi nadhani hii yote inatokana na ukweli kwamba Obama naye yuko very very uncomfortable kuhisiwa kwamba ni Muislamu.

..Tukubali kwamba Waislamu wana matatizo Amerika, wanabaguliwa na kutengwa, na Obama anapaswa kuwatetea na kuwalinda.

..mimi nafikiri Obama anapaswa kutoa hotuba kuhusu masuala ya dini na imani kama ile ya race. He needs to stand up for good Muslims.

..hali hii ikiendelea ataja tokea mgombea wa Uraisi ambaye ni makini lakini asipewe haki yake kwasababu ni Muislamu.
 
The New Yorker wanatumiwa na Republicans.

Wamemuweka Obama katika conundrum. Wamemchora vibaya (sio muislam, bali kama Muislam terrorist) na wamemuweka mahali ambapo inabidi awakemee kwa kumchora vibaya na kuendeleza bias gains Islam.

Obama angesema awakemee tu bila kusema wamewaonyesha waislam vibaya, angeonekana si mtetezi wa wanaoonewa.

Sasa Obama kasema hivyo, middle America huko wanaona "jamaa mbona anawatetea sana hawa, au kweli jamaa ni sympathiser nini?"

Shame on The New Yorker, Im glad machale yalinicheza a couple years ago na siku subscribe, ingenibidi kusitisha subscription.
 
Kuna ukweli kwamba Obama may not want to be associated with the Muslims since he knows quite well they would endanger his company with his middle name being HUSSEIN.
One time I watched a Tyra Banks Show walikuwa wanaongea about racism and one Black akasema she would like to have a muslim sister in law since the husband would just blow any man away who would come after her and so many other nasty comments were made.Sasa you can imagine being associated with such a group of people.I do not have anything against Muslims ila pale ambapo Obama ataanza ku sympthasize with them ajue that is the end of him.
 
Lakini New Yorker si ni liberal newspaper/ magazine? Sasa wanatumiwaje na GOP? Halafu si ndio hawa hawa New Yorker ndo walimchora Bush kama Hitler.....sikusikia mtu then akisema kuwa New Yorker wanatumiwa na GOP au Dems.....sasa wamemchora Obama imekuwa nongwa. Yaani huyu jamaa huwezi kumtania, kumpinga, kumkosoa, au kusema au kufanya kitu chochote kumpinga....otherwise utaitwa mbaguzi na mengine mengi.....
 
Kuna ukweli kwamba Obama may not want to be associated with the Muslims since he knows quite well they would endanger his company with his middle name being HUSSEIN.
One time I watched a Tyra Banks Show walikuwa wanaongea about racism and one Black akasema she would like to have a muslim sister in law since the husband would just blow any man away who would come after her and so many other nasty comments were made.Sasa you can imagine being associated with such a group of people.I do not have anything against Muslims ila pale ambapo Obama ataanza ku sympthasize with them ajue that is the end of him.

Hakuna ubaya wowote kuwa Mwislamu na Obama atakuwa mnafiki kama anaogopa kuhusishwa kwa namna moja au ingine na Waislamu. Na hakuna ubaya wowote kwa yeye kutiwa Barack Hussein Obama. Basi tu watu wamezidiwa na hisia za kibaguzi. It makes me sick.
 
..jamani nimechanganya madawa hapa.

..Nyani Ngabu umeeleza ukweli hapo juu.

..kuna vijana sasa hivi wameanzisha movement ya kujiita HUSSEIN.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom