Hivi kwani "he is down to earth" au amepumzika?
Hivi kuwa president ndiyo ile hali yako ya "kibinadamu" inatoweka? Hupumziki, you do not have time to revitalize yourself e.t.c.
Jamani mwacheni mwenzenu aji-revitalize...lo!!!! (bila shaka sio za uchaguzi maana niliziona hizi muda mrefu sana)