Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
Wanajamvi, nimeona kwenye bbc kuwa raisi wa marekani na dunia amesema kuwa no photoz zakuonyesha kifo cha kiongozi wa alqaeda zitakazotolewa..kwa ajili ya national security issues, hii imekaaje wana jamvi??? cyo changa la macho kweli.?