Rais wa marekani na mkewe wametia aibu baada ya mkewe kubadilishana nae siti ili kumzuia asiongee na mke wa cameroon kwa kudai it was too much
Obama and Wife at Mandela's Funeral - Imgur

Belindajacob umekurupuka angalia hapa
News Alert: Utamu wa ndoa huu hapa cheki tukio la msiba na Mandela
Usikurupuke kumkosoa mtu kijana na hapa unasemaje
News Alert: Utamu wa ndoa huu hapa cheki tukio la msiba na Mandela
hakua karibu na mke wa Cameron, Obama alikua karibu na alikua akiongea na Danish PM - Helle Thorning
get your facts right ndio uanzishe thread, kuanzisha thread kwa kukurupuka ni ukosefu wa busara
Rais wa marekani na mkewe wametia aibu baada ya mkewe kubadilishana nae siti ili kumzuia asiongee na mke wa cameroon kwa kudai it was too much
Obama and Wife at Mandela's Funeral - Imgur
Angekuwa na miaka arobaini ndio lakini miaka 95 na alikuwa anateseka!Wacha watu washerekee bana!Msiba kwa waafrika ni huzuni lakini walikua na nyuso za furaha
Alikuwa ni Denmark PM siyo mke wa Cameroon. Umebugi mkuu🙂)