Obama likely to be re-elected in 2012 elections.

Obama likely to be re-elected in 2012 elections.

Yale yale. Sasa mbona uchumi wa Amerika bado uko hoi? Na hiyo picha ya Amerika amei restore kivipi? Mbona foreign policies za Obama na Bush ni sawa tuu? Yaani hakuna tofauti. Halafu tena OBama ndiyo ameongezea vita mpya ya Libya na anaweza kuleta mpya nyingine hapo Iran. Sielewe unachokiongea. Inaelekea na wewe ni kasuku mwingine. Unarudia rudia tuu mambo.

....Hivi hatuwezi kujadiliana bila kuitana majina ambayo hayastahili!? Heshima ni kitu cha bure Kaka.
 
Mangi naona umekariri zile talking points za Democrat party kama kasuku vile. Yaani ujasahau hata moja. Yaani hata mtu akikuamsha usingizini unaweza kuzirudia kama hapo juu. Lakini jaribu kufikiri mara moja moja. Usikariri tuu talking points. Huyo Obama unafikiri hizo dola bilioni moja za kufanya kampeni 2012 ametoa wapi? Si hao hao matajiri wamempa. Sasa kama matajiri wanamchukia Obama kwa nini wanataka tena arudi madarakani? Na hicho kifo cha Bin Laden kimezidisha amani vipi? Mbona vita bado zinaendelea? Tena Obama alianzisha nyingine mpya hapo Libya?
Acha ujinga na matusi ya rejareja, nimekariri kivipi na wakati ni facts ambazo yes i can mention them anytime?

Ndiyo,Warren Buffet ni billionaire lakini anamsapoti Obama ikiwa ni pamoja na kuwapandishia matajiti tax.

Warren Buffet mwenyewe alishawahi kusema hakubaliani na issue ambapo secretary wake analipa kodi kubwa kuliko yeye mwenyewe.

Fuatailia siyo wewe umekariri na una chuki.
 
This is good news for Obama's re-election bid!

[h=1]US economy creates 200,000 jobs in December[/h]
 
Back
Top Bottom