Ni kweli kabisa Mkuu ukiona anaiba kwao ujue ujuzi wa kuiba umeishahata mwizi haibi nyumbani kwao
hahahahaahahahaahahahahaah aiseee na wajinga ndio waliwao yaani kikwete atatuachia mfupa wa samaki dah.na hajaisoma anasaini tuWakenya wanajua kusoma mikataba ya kiingereza, hawezi kwenda
hata mwizi haibi nyumbani kwao
Huo mruko wake mnauonaje?
Hata huo mfupa wa samaki hauachwi!!! Wnavyokimbizana kuingia Bongo hao..................!!!hahahahaahahahaahahahahaah aiseee na wajinga ndio waliwao yaani kikwete atatuachia mfupa wa samaki dah.na hajaisoma anasaini tu
There is no wonder Kenya has stronger economy than ours. tumekalia mipasho tu. uswahili mwingii utafikiri nchi nzima wanawake.