Obama in Cuba Photos

Ila Rais awaruhusu wa Cuba Internet ianze ku acses.. Kwa Sasa maisha bila Internet ni MAGUMU sana
 
Katika waafrika wenye bahati basi obama ndio namba moja.
 
Hivi hao watoto wa Obama hawana kazi ya kufanya?

Kila baba anakoenda na wao wapo!
Wanajifunza Urais, siyo huku kwetu mnamkurupusha mtu mnampa urais. Badala ya kuja na dira, anawapumbaza na vibwagizo. Ndio maana Bush alikuwa Rais, mtoto Rais na sasa mdogo mtu anausaka urais.
 
Kwahiyo tutarajie rizmoja kuwa Rais muda sio mrefu
 
Huyu Rais Raul hana mke?
 
hata ukiwa muda mrefu anaweza kuwa rais
 
Sidhani, atasubiri sana
 
Unafeel connection tu na huyo mtanzania ambae baba yake alihamia kenya baada ya kutoka pale tarime
Mbona wa afrk tunapenda kujpendekeza hivi yaan hadi kero! Huyo obm hta akiwa wa msoga hwzi kukujua ww!?
 
acha ushamba wewe!hapa watu wanapiga gumzo tu,umekaa ukaona hapa ndiyo pakutokea,kila kiti unachukulia viiiileeee,karibu mjini
 
Safi safi safi!!!

mbona haya magari ni ya miaka ya 70? hawana magari mapya?
Achana na hiyo gari mkuu inaitwa Cadillac pesa yake ukipewa unaweza ukatanua mpaka uchoka na bado ipo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…