mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 802
DEMOCRACY it's all about how you treat dissenting voices and oppositions kama mnataka aimbe kwa kutaja majambazi hana muda wa kusema maneno mengi, obama ana sifa ya kutumia maneno machache sana.
hata mikutano yake hutumia muda mfupi sana kupeleka ujumbe, kwa Tz hakuwa na haja ya kusema sana, alimaanisha, Tanznia mnahitaji serikali sikiliza kwa makini sana, sauti ya wanyonge na makundi mengine ikiwemo vyama.
Tabia za marekani hawachelewi kugeuka:
http://dailynews.co.tz/index.php/local-news/12359-tanzania-acts-on-unfair-iran-ships
umechukua sehemu ndogo ya speech,ameisifu sana Tanzania kwa mambo mbalimbali kama vile kukua kwa uchumi na demokrasia,changamoto pekee aliyozungumzia ni ukosefu wa umeme wa kutosha