Obama: Gaddafi death is warning to iron-fist rulers

Je, ukiombwa ushahidi utaleta?

Na kama utaleta ushahidi na ikathibitika kweli alikuwa akiuwa watu wake, je idadi hiyo itafanana na baada ya kufa kwake?

kabra=kabla

Kila kitu kiko wazi wazungu awakoseagi...watu wachache kwenye system ndo walikuwa wanamkubari gadafi.
 
Kwahiyo unataka kuniambia wazungu hawakoseagi? Ila waafrika ndio wakoseaji?

Na je umejuaje kama ni wachache kwenye system ndio wanaomkubali?

Naomba uje na facts with evidence!


Nikama unavyomuona Jpm na Ndugai wanavyosigina katiba sasa wakittolewa nje lazima watu wachache wapate jeraha.
 
ujui chochote mkuu
Yaani katika uchambuzi wa siasa za kimataifa nitajinasibu kuwa mchambuzi wa siasa za libya. Wewe ndo hujui chochote kuhusu Tripoli, misrata, bengazi, banward au sirte
IMG-20200608-WA0008.jpg
 
Yaani katika uchambuzi wa siasa za kimataifa nitajinasibu kuwa mchambuzi wa siasa za libya. Wewe ndo hujui chochote kuhusu Tripoli, misrata, bengazi, banward au sirte
View attachment 1485465


Katika Maraisi wa Afrika huyu ndie the best kwangu. Asingeuawa angefanya mambo makubwa mno na Afrika ingepata heshima kubwa. wazungu walishtukia mapema hilo ndio maana wakafanya yao.
 
Back
Top Bottom