Why not us,,
tumeendesha chaguzi nyingi lakini huwezi kuona tunawekwa kwenye spot light vyombo vya kimataifa kama bbc,cnn,aljazeera,etc,
Ni lini sisi watanzania tutapata pongezi kama hizi?
labda mataifa mengine yanatuona sisi kama bado sana?au uwezo wetu ni mdogo?