Obama bows to Japanese Emperor, Empress...Maswali kibao! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama bows to Japanese Emperor, Empress...Maswali kibao!

Discussion in 'International Forum' started by Ab-Titchaz, Nov 16, 2009.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Nov 16, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  In a scene that will likely be replayed on Sunday's political talk shows, President Obama bowed deeply to the Emperor and Empress of Japan on Saturday. The president's kowtow to the royal couple came on the second day of his Asian tour and before a private lunch with the pair in Tokyo.


  An unnamed, senior Obama administration official told Politico Saturday that the president was observing protocol, saying, "I think that those who try to politicize those things are just way, way, way off base." During his speech in Tokyo, President Obama reaffirmed the United State's alliance with Japan and called himself America's first Pacific President.

  [​IMG]

  In April, the president was criticized by the National Republican Senatorial Committee for bowing to Saudi King Abdullah at a G-20 meeting. Press Secretary Robert Gibbs declined to call Obama's gesture to Abdullah a bow, instead saying Obama "bent over" to shake hands with the king.

  Anticipating drama, the Los Angeles Times wrote a blog entry Saturday about the bow. The LA Times detailed former Vice President Dick Cheney's (non-bow) handshake with the Japanese emperor and pointed to the "comedic" drama surrounding former Presdient Clinton's bow to Akihito.
   
 2. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Mzee amebow hadi amefumba macho, si mchezo. Ana heshima sana kwa tamaduni za watu wengine, lakini ndiyo hivyo wamarekani wenzake hawamuelewi, wakiona picha kama hii wanapata kichefuchefu. Matter of fact, alipobow kwa Mfalme wa Saudi Arabia, kuna watu kazini walikuwa wanahasira sana, 'we americans, we don't bow to nobody'!

  Inanikumbusha scene moja kwenye movie ya 'Donny Brasco', walikwenda kwenye restaurant ya Kijapani, Johnny Depp character aliyekuwa undercover akakataa kuvua viatu ili kifaa alichovaa kisigundulike, akaanza kudai 'who won the war?, who won the war?', you have to see that scene to understand what I mean. Classic. Ndiyo wamarekani wengi watakavyofikiri wakiona picha hii.
   
 3. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  napenda american altitude bow to nobody..obama aache tabia hii ya ku-bow to kings iwe arab, au japan ni upuuzi huu..we need to bow almighty Allah alone gosh!
   
 4. GY

  GY JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2009
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  He "bent" to King Abdullah

  He bowed to queen Elizabeth

  He bowed to Akihito

  Now the question is, If he meets King MUSWATI, will he do the same to observe the protocals?

  hilo tu, out of curiousity!
   
 5. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wakati Nyerere alipokuwa anawakandya watu wa west na hipocrisy yao (IMF, WB etc) aliulizwa swali moja na muandishi mmoja wa habari wa west, akaambiwa "Sasa tufanye nini Mzee?"

  Alijibu, "Have some humility"

  Watu wa Marekani (especially the ideological reds) hawana humility ya kutosha, na Obama ana kazi kubwa sana kuwaonyesha kwamba unaweza kuwa firm na respectable wakati unaheshimu mila za wenzako na kuwaamkua inavyotakiwa.

  Halafu haya mambo mengine ni racism na vanity tu. Obama mwenyewe Ninja wa Jakarta na anajua social protokali za Wa Asia, na anajua protokali za US.

  In any case I did not see this played out as the Saudi thing.
   
 6. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Pandisha kwanza suruale yako ndio nikujibu?
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,026
  Likes Received: 23,830
  Trophy Points: 280
  You Can Say it Again! Full Support Kama Kawaida!
   
 8. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kwa nini huyu Allah ana kiu sana ya kuabudiwa? Ningekuwa mimi ndiye muumba wa ulimwengu na vyote vilivyomo, suala la kutaka kuabudiwa lingekuwa a tacky mundane waste of divine intelligence.

  Ndiyo maana nasema mungu ni fiction, na ukiamini mungu unakuwa na hii hubris ya kijinga inayokufumba macho hata kuwaheshimu binadamu wenzako.

  Unless this god is vane and has a high dose of male egoism - which says more about his author than the godhead himself- these neediness cannot be explained as divine.It is almost like god is an insecure lover who needs constant, absolute and exclusive reassurance that we still love him.

  I can't deal with insecure lovers I can see, let alone an insecure godhead I cannot.
   
 9. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mie kwa mawazo yangu ya kijijini, ninaamini kuwa alifanya hivyo kwa sababu hao ni Wazee. Angelifanya hivyo pia kwa King Hussein wa Jordan, ila kwa mtoto wake huyu King Abdullah, sidhani kama atafanya hivyo.

  Ukiangalia ni watu gani aliwasalimia hivyo, wote ni WAZEE. Sidhani hata Ghadaffi kwa umri wake ule atasalimiwa hivyo. Wote waliosalimiwa ni VIBABU kama si VIBIBI.

  By the way, Bush hakuibusu pete ya PAPA alipoenda Vatican?(hii huenda na kupiga magoti). Au kumbukumbu zangu zimekaaje? Pia nafikiri hufanya hivyo akiwa kwao na sijui kama atafanya hivyo akiwa kwake USA. Na katika somo la Comunication Skill nililofundishwa pale Tech. College Arusha na mama/Mwalimu Hakika (salamu zako mama popte ulipo), kuna hii kitu inaitwa kwamba inabidi kuheshimu mila na kufuata tamaduni za sehemu hiyo.

  Ndiyo maana Wazungu na Waasia wanafanikiwa sana wakija kwetu. Hufunzwa in-advance tabia zetu. Ila sisi unakuta mtu unakwea pipa tu bila ya kufahamu chochote cha sehemu unayokwenda. Unakuta mtu anasema "kila kitu hukohuko."

  By the way, kama umekaa kwenye kiti cha matairi na ukaanza kuteleza ofisini, USA ni poa tu ila German, utafanya watu watapike.

  Ukitoa TIP Iceland, wanaweza kukupiga kwa hasira. UK usipotoa basi next time wanatemea chakula chako mate. .........................
   
 10. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,187
  Likes Received: 681
  Trophy Points: 280
  Huo ni utamaduni wa kijapani pale unapojitambulisha au unapokutana na mtu kwa mara ya kwanza. Mdogo huwa anainama kuonyesha heshima mbele ya mkubwa na mkubwa huinama kidogo kama unavyowaona emperor n empress.
  Ni mambo kujifunza au kuelewa utamaduni wa wengine.
   
 11. GY

  GY JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2009
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Unaona, kwanini unashindwa kuheshimu protocals, tena ndogo tu hata hizi za mavazi!
   
 12. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #12
  Nov 18, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Tizama hapa:
  http://news.bbc.co.uk/2/hi/7976868.stm
   
 13. GY

  GY JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2009
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
 14. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #14
  Nov 18, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Sikonge, comment yako imenichekesha sana.

  Nadhani Raisi ajaye wa Marekani (nafikiri Obama hatapata 2nd term na nadhani hata hataki) atapata wakati mgumu sana kuongoza na kupata heshima na attention kama ya Obama, kwa mlioko Marekani fungeni mikanda, wakati mgumu sana unakuja baada ya 2012.

  Hii picha haijapata coverage kabisa (mimi muangaliaji sana wa News na nimeiona hapa kwa mara ya kwanza). Nadhani wamarekani wameshagive up, Obama ameshadestroy their manhood kwa apology tour zake, na kubow kwa wafalme.

  Bluray nimeipenda quote hiyo ya Nyerere. Nakumbuka kumfananisha Obama na Nyerere (at least in my mind) toka enzi za kampeni. Zilipokuja allegations za socialism na mambo mengine wala sikushangaa.


   
 15. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #15
  Nov 18, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  headline ilinishtua nikijua ka-bow to the pressure ya kutoa majeshi yao huko japan na amekubali equal patnership in movement of trade.

  Kumbe tunazungumzia jinsi ya kutoa heshima tuu, si ni jambo la kawaida, mwelevu huu respect others customs.
   
 16. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #16
  Nov 18, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  Quotes of the Day

  <!-- Begin Pagination -->


  <!-- End Pagination --> [​IMG]

  Tuesday, Nov. 17, 2009
  [​IMG]There is no reason for an American president to bow to anyone.[​IMG]

  • DICK CHENEY,
  • former Vice President, criticizing President Obama for bowing before Japan's emperor on Nov. 14


   
 17. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #17
  Nov 18, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Imeandikwa, watakaojikweza watashushwa, na watakaojishusha watakwezwa.

  Can't a brother observe other people's traditions? Mbona hatusikii kelele Bush alipobow kwa papa? na kuvaa nguo za tamaduni nyingine?

  Whats next, rais wa marekani asicheze ngoma za asili za watu wengine?

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Nov 18, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Husikii kelele za Bush ku-nod (haku-bow) kwa Papa kwa sababu na wewe ni Obama/ liberal kool-aid drinker!
   
 19. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #19
  Nov 18, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Juma,

  Unajua as I was thinking through this "controversy" nilikuwa nafikiri the same issue.Jinsi watu wanavyoacha kuangalia mambo serious, na ku focus kwenye superficialities.

  Lakini this is about America, the land of reality shows, frivolous lawsuits, 120 pound girls getting liposuction and Hollywood, what do you expect?

  And then some people with this kinda hubris wonder why the world hates them.
   
 20. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #20
  Nov 18, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kool-Aid is so full of sugar, please refrain from using such life threatening insults.

  Obama anawafundisha Wamarekani kwamba enzi za kufikiri wao wako juu ya dunia na kila mtu ni mtumwa wao zimaisha, everybody must play nice now.Kwanza kaenda kwa bankers wao huko Asia.

  One must be respectful towards one's banker, especially if one is just above bankruptcy, less the banker rescind some pipelined loans or something.

  Usawa huu atabow mpaka kwa Hu Jintao.

  But seriously, out of all the stories is this the best negative story people can do about Obama?

  If it is then he must be doing pretty good.
   
Loading...