Obama atembelea mitambo ya Symbion|Ubungo na Kisha kusafiri kuelekea US

utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,193
2,812
Muda huu rais Obama na mwenyeji wake rais Kikwete, yupo kwenye mitambo ya kufua umeme ya Symbion iliyopo Ubungo ambayo inafadhiliwa na Marekani. Anaendelea kukagua na baada ya hapo ataweka jiwe la msingi la uzinduzi.baada ya uzinduzi obama amesema lengo la power afrika ni kuboresha maisha ya wakazi wa bara hili la afrika. Pia wameshuhudia mpira unaozalisha umeme
 
Obama amesema atahakikisha symbion wanazalisha umeme wa kutosha kuondoa tatizo la umeme tz ndani ya miaka mitatu ijayo
 
nilishangazwa sana na hotuba yake wakati ule wa chakula, yaani sekunde kadhaa amemaliza

aliwaomba msamaha watanzania kwamba Rais yahati j. kenned alikuja akiwa likizo, haikuwa safari ya ki inchi

akapotezea potzea mambo mengi sana


nadhani anajua wakenya wanamtazama na wanachukia, my take
 
nahisi tanzania ni ktk nchi ambazo hatakanyaga tena, wakenya na waganda walimhoji live alipokuwa kule south. majibu ya obama yalipa jibu la maswali mengi. Obama hana furaha kama aliyozooleka nayo, akiwa senegal alionyesha furaha, na afrika ya kusini, lkn kwa TZ hana furaha yake tuliyomzoea
  • ninamashaka
  • umasikini umeshtua sana
  • hata rais kikwete hakuwa akijiamini
  • hali ya maisha ya watanzania ni ya kusikitisha na obama aliumia sana wakati akiwa anaelekea ikulu, watz walivyoshindwa kujizuia kuingia karibu na kingo za barabara kumuona, kisha anaambiwa nchi tajiri mali asili, na viongozi wake wamenenepeana.
  • obama atachukua hatua dhidi ya viongozi, na ndio maana alisisitiza sana utawara bora
  • lazima!
 
Ameshaagana wenyeji wake watz na sasa ameshapanda airforce one tayari kuruka
 
Rais kikwete na ujumbe wake bado wapo uwanjani kumsindikiza mgeni wetu
 
ngoja sasa nisepe zangu pale kilimanjaro nikale mabaki aka leftover
huku nikipiga mzikihttp://www.youtube.com/watch?v=3NjSZkVxc6w
 
Back
Top Bottom