Obama at MDG Summit - Amfagilia JK

All this means is "good job Tanzania, you did not have a genocide like Rwanda or implode like Somalia" which is not much to be proud about. I have higher standards and aspirations.

When are we going to stop jumping and hollering everytime the US makes the slightest diplomatic gesture that we cannot even tell if it was made sincerely or just for diplomatic convenience ? I bet I can find some CIA reports that brand Tanzania as a violator of any or all of "good governance and democracy; the rule of law and equal administration of justice; transparent institutions with strong civil societies; and respect for human rights."

Why the hoopla ? Is it political capital in an election year? Is it the natural predilection of some African "misleaders" to think that every praise from the West is good ?
 
Wanajamii nitagusia swala moja ambalo nimeona sana linaongelewa sana Tanzania, na ni swala la kuwa na mafuta.

Mimi nafanya kazi kwenye Seismic company ambayo ilishakuwa na crew Tanzania, na kujaribu kukusanya what we call 3D. Seismic ndio wanao determine kama kuna wese au laa, na kampuni ninayofanya tunafanya kitu kinacho itwa Multiclient, maana tunatafuta wese kisha tunawauzia haya maeneo kampuni kama BP au exxon na wengine.

Ukweli ni kwamba 2008 tulileta crew mmoja kusini mwa Mtwara na hakuna cha wese wala nini tulicho ona zaidi ya gesi. Sasa kupiga piga kelele sijui kuna mafuta hapa sijui pale ni ushabiki. Jina la kampuni ni Geokinetics, na sasa tupo Uganda na maeneo mengine.

Na wale wanaosema sijui bahari ya hindi kuna mkondo wa mafuta sijui nini? Please acheni kuzusha maneno.... Makapuni yalishafanya tafiti maarufu kama OBC na hakuna cha maaana walicho ona.

Gesi ipo nyingi sana, lakini teknologia ya kutumia gesi bado ni 0.

Mkuu hizi kauli tumezisikia sana pamoja na viongozi wenu serikali kutudanganya sana kwa kupitia vyombo vya habari labda nikuulize swali mmoja ule mkataba wa matrilioni uliosainiwa mwezi wa 4 au 3 wa kutengeneza offshore drilling station maeneo ya mafia na mtwara walikuwa hawajui wanaenda kuchimba nini baharini? Pamoja na hayo kuna kampuni ilisign mkataba wa kutafuta mafuta maeneo ya lake tanganyika je nao vp? Zama za nyerere mzee zilishapita zamani sasa zama za Kikwete msitudanganye kama watoto wadogo....
 
Kuna jambo ambalo liko wazi... akina Dr. Slaa na CHADEMA sio wana-demokrasia kama KIKWETE ... KIKWETE Kwenye kuacha watu wawe huru yuko juu sana... ndio maana hata wengine hawakumwelewa Zitto alivyosema anatamani kuwa ba level ya tolerance kama ya KIKWETE.

DR. Slaa ni mbabe. Kwa kusema hivi sina maana hana positive area zingine... anazo nyingi sana lakini kama kuwa Rais wa nchi... ana-capitalize kwenye contemporary politics only!

To me Slaa is not a visionary leader other than an activitist. He's not a leader of our time, hence can't bring any positive transformation.

Ninapenda kuona Rais ambae hajielezi katika kujikwaza hata kwa yale ambayo kikatiba hatayaweza. Kutoa ahadi ya kufanya marekebisho ya katiba ndani ya 100 days inaonesha anasukumwa zaidi na mtazamo finyu na si kwa upeo mpana.

I congratulate Dr. Jakaya Kikwete for a commendable job he did for the last 5 years. He strengthened this country's foundations for the better future of the next generation. We are proud of him today for good governance, rule of law, growing democracy, etc.

Ninaamini watanzania walio wengi wanakubaliana kuwa JAKAYA KIKWETE ndiyo mgombea bora kabisa kuliko wengine na watampa kura ya NDIYO hapo October 31.

(Tunzeni hii post kwa matumizi baada ya Oct. 31, tusikimbiane)

Ninaelekea Arusha mjini kikazi zaidi.
 
Forget about Slaa, this is a Kikwete thread. Could you provide specifics on the highlighted ? Per my earlier post ?
 
Mkuu
1. kwanza kabisa unamaanisha nini unaposema "activitist"?

2. Slaa hajasema atabadilisha katiba ndani ya siku 100, bali mchakato wa kubadilisha katiba utaanza ndani ya siku 100.

3. Unasema unamcongratulate Kikwete for a commendable job that he did in 5 years. This would have then be an easy election for him. But why mabango ya mabilioni nchi nzima, helikopta tatu, ferrying and paying attendees of his rallies??????

4. Hiyo good governance, rule of law na the so called grwing democracy unaweza kuisubstantiate? ukawa more specific?

5. Can you please tell us with specifics as to how JK is a visionary leader????????
 
Huyu sanasana anatupeleka hatua 3 mbele then 7 nyuma, hatusemi JK hajafanya mazuri TZ ila wanachochimba kitaangusha TZ (hasa wananchi walio wengi) na kuiacha katika hali mbaya sana na si kiuchumi tuu bali kimatabaka katika waTZ kiuchumi na influence.
 
Thanks Kiranga,
Tanzania imekuwa ni mfano na bado itaendelea kuwa hivyo chini ya uongozi wa Jakaya Kikwete na CCM.
Wote tumeshuhudia nchi yetu ilivyoweza kusimamia kurejeshwa kwa amani katika nchi ya jirani ya Kenya na kule kwenye visiwa vya Comoro. Hili jambo ni la kujivunia kwani huwezi kwenda ku-impact nje kama wewe mwenyewe si muumini wa vitendo wa utalawa wa sheria.
Tumeona katika nyakati mbalimbali watu na makundi kadhaa yakiweka shinikizo kwa Rais kuingilia kati masuala ambayo yapo katika mhimili mwingine mbali na executive. Kwa mfano baada ya hukumu ya Zombe baadhi ya watu na makundi kadhaa yalikuwa yakishinikiza rais achukue hatua kinyume na hukumu ile, alichoagiza Rais ni kuitaka serikali (ambayo anaisimamia) kuchukua taratibu zozote zinazofaa kukata rufaa mahakamani ili mahakama ipitie madai ya serikali.
Aidha ameendelea kuagiza watendaji wa serikali kutafuta ushahidi wa kutosha dhidi ya yeyote anayetuhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo ya rushwa na matumizi mabaya ya rasilimali za umma. alionya kamwe watu wasionewe kupelekwa mahakamani kwa kutumia mabavu ya serikali.
Aidha ndani ya miaka mitano hii, tumeshuhudia mchakato ambao utaiweka mahakama kati mhimili wake kikamilifu huku ikiweza kufanya kazi zake kwa uhuru mkubwa zaidi ikiwa ni pamoja na kuwa na uwezo wa kuamua wao wenyewe ju ya mipango ya utoaji haki na uendeshaji wa mahakama.
Tumeshuhudia jinsi Bunge lilivyoweza kufanya kazi zake bila ya kuingiliwa na serikali. Bunge limekuwa liichachafya serikali na hata kuilazimisha kubadili miswaada iliyopelekwa huko.
Kupanuka kwa uhuru wa habari na kujieleza kunatufanya leo hii tuweze kuwakosoa hata viongozi wa juu bila ya kuogopa au kuhofu jambo lolote, na hata wakati mwingine ukosoaji huo unapozidi mipaka Rais aliendelea kuwa mvumilivu na kuelezea umma kuwa ni kwa sababu ya uchanga wa mfumo huo, huku akiwa na matarajio watu watajifunza zaidi kuvumiliana in future.
Leo hii tunaona kuwa Demokrasia inakuwa watu wenye mawazo dhidi ya wengine wanapata nafasi ya kuongelea hadharani bila ya kipingamizi chochote
Mambo yoye haya yamehitaji kuwa na kiongozi aliye BORA na si vinginevyo.
 
Mkuu Nyambala
Activitist is a person advocating or opposing a cause or issue vigorously, esp. a political cause

Juu ya katibayou can put words in either way, lakini tafsiri ina baki palepale, labda utueleze atafanyaje huenda unaweza kumwokoa kwenye hilo vinginevyo hilo ni changa la macho tu.

Juu ya swali lako la tatu nadhani unajipa hofu tu, kwa CCM kuonesha kuwa hawana mzaha na katika kuwatumikia wananchi inabidi wafanye kampeni ambayo itamfikia kila mpiga kura nchi nzima.
Hata hivyo ukumbukwe kuwepo kwa mabango nchi nzima kunatokana pia na ukweli kwamba CCM inagombea nafasi zote za uongozi 100% si kama vyama vingine vya KIBAGUZI vinavyobagua maeneo ya kuwatumikia wananchi.

Maswali yako ya mawili ya mwisho yamejibika katika post yangu iliyotangulia.

Naomba kutoa hoja.
 
Mkuu,
Inawezekana una hoja lakini hujaeleweka, rephrase your hoja tafadhali.
 
Haters mpo?

Ukweli wa maneno hayo tutayaona Oktoba 31 2010. Obama asije akaumbuka by Oktoba 31 2010. Ni sawa na mzazi mwenye toto jambazi lakini yeye anaamini sio jambazi mpaka siku linakamatwa au kuuliwa. Kama JK anafuata rule of law kwa nini anavunja sheria za uchaguzi kwa kuzidisha muda wa kampeni kwa siku? kama Tanzania inakuza demokrasia kwa nini katiba hairuhusu kuhoji matokeo ya uchaguzi ngazi ya Urais?
 
Mkuu Nyambala
Activitist is a person advocating or opposing a cause or issue vigorously, esp. a political cause

Juu ya katibayou can put words in either way, lakini tafsiri ina baki palepale, labda utueleze atafanyaje huenda unaweza kumwokoa kwenye hilo vinginevyo hilo ni changa la macho tu.

Juu ya swali lako la tatu nadhani unajipa hofu tu, kwa CCM kuonesha kuwa hawana mzaha na katika kuwatumikia wananchi inabidi wafanye kampeni ambayo itamfikia kila mpiga kura nchi nzima.
Hata hivyo ukumbukwe kuwepo kwa mabango nchi nzima kunatokana pia na ukweli kwamba CCM inagombea nafasi zote za uongozi 100% si kama vyama vingine vya KIBAGUZI vinavyobagua maeneo ya kuwatumikia wananchi.

Maswali yako ya mawili ya mwisho yamejibika katika post yangu iliyotangulia.

Naomba kutoa hoja.

Kweli wewe ni fan wa CCM, CCM hawako makini muda wote, na wewe kama mmoja wao hauko makini kabisa. Hivi kati ya maneno haya mawili (red hap juu - Activitist) na activist according to Cambridge Advance Learner's Dictionary lipi ni sahihi? Maana ya activist kama ilivyo kwenye kamusi ni "a person who believes strongly in political or social change and works hard to try and make this happen". Maana uliyoitoa wewe inaendana na hilo neno lisilojulikana kwenye ulimwngu wa lugha ya kiingereza. Kwa maana ya neno sahihi la kiingereza ambalo umekuwa unamaanisha nafikiri Dr. Slaa anafaa sana!
 
Kuna jambo ambalo liko wazi... akina Dr. Slaa na CHADEMA sio wana-demokrasia kama KIKWETE ... KIKWETE Kwenye kuacha watu wawe huru yuko juu sana... ndio maana hata wengine hawakumwelewa Zitto alivyosema anatamani kuwa ba level ya tolerance kama ya KIKWETE.

DR. Slaa ni mbabe. Kwa kusema hivi sina maana hana positive area zingine... anazo nyingi sana lakini kama kuwa Rais wa nchi... ana-capitalize kwenye contemporary politics only!

Kwa hiyo hata mafisadi ameyafanya yawe huru sana?
 
Mkuu Nyambala
Activitist is a person advocating or opposing a cause or issue vigorously, esp. a political cause

Juu ya katibayou can put words in either way, lakini tafsiri ina baki palepale, labda utueleze atafanyaje huenda unaweza kumwokoa kwenye hilo vinginevyo hilo ni changa la macho tu.

Juu ya swali lako la tatu nadhani unajipa hofu tu, kwa CCM kuonesha kuwa hawana mzaha na katika kuwatumikia wananchi inabidi wafanye kampeni ambayo itamfikia kila mpiga kura nchi nzima.
Hata hivyo ukumbukwe kuwepo kwa mabango nchi nzima kunatokana pia na ukweli kwamba CCM inagombea nafasi zote za uongozi 100% si kama vyama vingine vya KIBAGUZI vinavyobagua maeneo ya kuwatumikia wananchi.

Maswali yako ya mawili ya mwisho yamejibika katika post yangu iliyotangulia.

Naomba kutoa hoja.

CCM wanamuonyesha nani kuwa hawana mzaha Punda? Unapoandika kitu, lazima mshipa wa fahamu ushituke kidogo. Kwa wenzetu Marekani, mgombea akiwa na fedha nyingi anazitumia kujitangaza kwa nguvu sana, hiyo haionyeshi seriouness, bali ni jeuri ya fedha na kutafuta kwa nguvu kukubalika. Kumbuka kipindi cha pili cha campaign cha Mkapa, it was an easy campaign, kwa sababu kipindi cha kwanza Mkapa alifanya mambo yaliyomfanya apewe heshima. JK is having trouble kuconnect na mwananchi wa kawaida, hilo ndilo tatizo kubwa, ametuangusha-- japo alisema sitowaangusha. Kutumia fedha zote hizo ni kwa kuwa hakubaliki kama 2005, but he want to show the world kuwa bado anakubalika, please unakubalika kwa kufanya sio kucheka cheka, aloo
I hate unachokindika, halafu umeandika kama mhariri wa daily news, acha kuudhi, lol
 
sifa hizo siyo za bure. MAREKANI hainaga tabia ya kusifia sifia ovyo mahala pasipo namaslahi. Naamini OBAMA ameambiwa tishio la kuchaguliwa upinzani huku Tanzania ndo maana wanaona wafanye kitu hicho cha kumsifia muungwana. Ina maana wanamsaidia kwenye kampeni zake ili akishinda ajue ana deni jingine la mafisadi wa nje baada ya kuwalinda wa ndani kwa five years.

fahamu mantiki ya hii kitu hapa chini
KIGAMBONI New CITY PROJECT.

wanaita SATELLITE CITY
 
CCM wanamuonyesha nani kuwa hawana mzaha Punda? Unapoandika kitu, lazima mshipa wa fahamu ushituke kidogo. Kwa wenzetu Marekani, mgombea akiwa na fedha nyingi anazitumia kujitangaza kwa nguvu sana, hiyo haionyeshi seriouness, bali ni jeuri ya fedha na kutafuta kwa nguvu kukubalika. Kumbuka kipindi cha pili cha campaign cha Mkapa, it was an easy campaign, kwa sababu kipindi cha kwanza Mkapa alifanya mambo yaliyomfanya apewe heshima. JK is having trouble kuconnect na mwananchi wa kawaida, hilo ndilo tatizo kubwa, ametuangusha-- japo alisema sitowaangusha. Kutumia fedha zote hizo ni kwa kuwa hakubaliki kama 2005, but he want to show the world kuwa bado anakubalika, please unakubalika kwa kufanya sio kucheka cheka, aloo
I hate unachokindika, halafu umeandika kama mhariri wa daily news, acha kuudhi, lol

Ichondi,
Kuna vitu mimi na wewe na wengine hatuwezi kuvikataa kwani ni facts.

CCM ni chama kikubwa na chenye wanachama wengi kuliko idadi ya wanachama wote wa kambi ya upinzani.

Kama nilivyoeleza hapo juu kuwa CCM iko makini siku zote imesimamisha mgombea katika kila nafasi ya ya uongozi katika uchaguzi huu wa Oktoba 31. hivyo basi hata kampeni zake ni tofauti na vyama vingine, CCM ina kazi ya kumfikia kila mpiga kura tofauti na vyama vingine ambavyo ni vya KIBAGUZI vinachagua maeneo ya kuwatumikia wananchi na maeneo mengine WANAWATENGA wananchi.

Fungu ambalo linatumika kwenye kampeni tayari lilikwisha tengwa kawa kazi hiyo, nadhani ndugu yetu Makala alishafaya kazi yake kabla ya kwenda kule Mvomero.

Vilevile CCM inakubalika na kuaminika sana kuliko chama kingine chochote cha kisiasa hapa nchini.

Mwisho nakushukuru sana kwa kuonesha ukomavu na uvumilivu miogoni mwetu hasa tunapojadili hoja zetu. Kitendo cha kuandika kuwa unayachukia niliyoyaandika ni ushahidi tosha kuwa huangalii mtu unajali hoja. Endelea hivyo na wengine tuige mfano wa Ichondi.
 
Ikiwa mgombea Urais anajibizana mhariri wa gazeti la daily news akingia ikulu kweli kutakuwa na uhuru wa habari?
 
Pundamilia said:
Thanks Kiranga,
Pundamilia said:
Tanzania imekuwa ni mfano na bado itaendelea kuwa hivyo chini ya uongozi wa Jakaya Kikwete na CCM.
Wote tumeshuhudia nchi yetu ilivyoweza kusimamia kurejeshwa kwa amani katika nchi ya jirani ya Kenya na kule kwenye visiwa vya Comoro. Hili jambo ni la kujivunia kwani huwezi kwenda ku-impact nje kama wewe mwenyewe si muumini wa vitendo wa utalawa wa sheria.
Tumeona katika nyakati mbalimbali watu na makundi kadhaa yakiweka shinikizo kwa Rais kuingilia kati masuala ambayo yapo katika mhimili mwingine mbali na executive. Kwa mfano baada ya hukumu ya Zombe baadhi ya watu na makundi kadhaa yalikuwa yakishinikiza rais achukue hatua kinyume na hukumu ile, alichoagiza Rais ni kuitaka serikali (ambayo anaisimamia) kuchukua taratibu zozote zinazofaa kukata rufaa mahakamani ili mahakama ipitie madai ya serikali.
Aidha ameendelea kuagiza watendaji wa serikali kutafuta ushahidi wa kutosha dhidi ya yeyote anayetuhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo ya rushwa na matumizi mabaya ya rasilimali za umma. alionya kamwe watu wasionewe kupelekwa mahakamani kwa kutumia mabavu ya serikali.
Aidha ndani ya miaka mitano hii, tumeshuhudia mchakato ambao utaiweka mahakama kati mhimili wake kikamilifu huku ikiweza kufanya kazi zake kwa uhuru mkubwa zaidi ikiwa ni pamoja na kuwa na uwezo wa kuamua wao wenyewe ju ya mipango ya utoaji haki na uendeshaji wa mahakama.
Tumeshuhudia jinsi Bunge lilivyoweza kufanya kazi zake bila ya kuingiliwa na serikali. Bunge limekuwa liichachafya serikali na hata kuilazimisha kubadili miswaada iliyopelekwa huko.
Kupanuka kwa uhuru wa habari na kujieleza kunatufanya leo hii tuweze kuwakosoa hata viongozi wa juu bila ya kuogopa au kuhofu jambo lolote, na hata wakati mwingine ukosoaji huo unapozidi mipaka Rais aliendelea kuwa mvumilivu na kuelezea umma kuwa ni kwa sababu ya uchanga wa mfumo huo, huku akiwa na matarajio watu watajifunza zaidi kuvumiliana in future.
Leo hii tunaona kuwa Demokrasia inakuwa watu wenye mawazo dhidi ya wengine wanapata nafasi ya kuongelea hadharani bila ya kipingamizi chochote
Mambo yoye haya yamehitaji kuwa na kiongozi aliye BORA na si vinginevyo.

Pundamilia,

..uliyoyasema ni mambo ya kiutawala-tawala zaidi na si mambo yanayoinua kiwango cha maisha ya Mtanzania wa kawaida.

..unaweza vipi kumsifia JK kwa kusimamia amani Kenya na Comoro wakati kuna matatizo ya amani ndani ya Tanzania kama kule Musoma na maeneo ya Kagera?

..hizi siyo zama za kujisifia kwa mambo ya kijeshi-jeshi kama ushiriki wetu Comoro.

..ingependeza kama tungejisifia kwa kuuza bidhaa zetu Kenya, Comoro, etc etc. ingependeza kama tungeweza kupunguza un-employment hapa Tanzania na kuweza kujitanua na kuwekeza kwenye nchi za jirani, and creating jobs in those troubled countries.

..nchi hii na utajiri wote wa rasilimali, hatuna hata aibu tunaomba-omba kwa nchi ndogo kama Cuba. yaani mngejua jinsi Cuba ilivyobanwa kiuchumi na USA, halafu viongozi wa Tanzania hawana hata haya wanakwenda huko na kuomba ndiyo mngejua kwamba tumechagua watu wa hovyo-hovyo kutuongoza.
 
Back
Top Bottom