Obama ana undungu na Bush,Cheney, Carter,Truma &Co.!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Kuna wengi wakati Raisi wa USA Barack Obama anafanya Kampeni za kuwa Raisi wa USA walimshangilia sana na kuamini kabisa alichokuwa anawaambia kwamba yeye ni from grass roots, kumbe ni Uongo mkubwa Barack Obama anatoka lineage ya maelite wa USA waliotawala!
Kuna wengi hata waliamini kabisa myth ya the American dream kuna hata Waafrika walioanza kuoa Wazungu na kubatiza watoto Obama kwa mategemeo kwamba USA kila kitu kinawezekana kama mtoto wa mchunga Mbuzi kama mweyewe alivyokuwa anajinadi anaweza kupanda from no body mpaka kuwa Raisi wa USA kwa nini wengine washindwe? Kumbe ulikuwa ni uongo na fiksi tu Barack Obama ni elite na anatoka kwenye kundi la maelite waliotawala USA tangu siku inaanzishwa!

Barack Obama kwa upande wa Mama yake Mzungu Ann Dunham ana undugu na Maraisi 6 waliopita wa USA kama George W. Bush, G.H Bush, James Madison, Harry Truman, Lyndon Johnson, Jimmy Carter vile vile ni binamu wa Dick Cheney Makamu wa Raisi wa Utawala wa George W.Bush, yaani Babu yake Obama ambaye ni ndiye Baba yake Ann Dunham ni binamu wa Maraisi hao wote wa USA niliyo waorodhesha!

Kwa kifupi Barack Obama ni mmoja wa maelite na USA haijawahi kutawaliwa na watu walio nje ya mfumo wa maelite, Viongozi wa USA kama John Kerry, pmj na Raisi Lincoln, Mabilionea kama Warren Buffet na Hollywood Stars kama Brad Pitt wote ni wana uhusiano ya damu na Barack Obama, na wanachangia lineage moja!


Obama akimkumbatia Mjomba wake!
1280px-Barack_Obama_embraces_his_great_uncle_Charles_Payne.jpg



 
Hata Mimi ndio najua hivyo ndugu yangu nikwambie tu kuwa uwezi kuwa rais wa USA bila kwenda kwenye kiapo cha kuilinda Israel !!!
Na ili ufanye hivyo lazima uwe na DNA inayotokana na Israel ndivo ilivyo!!
 
Mbona naona kama kwa kipindi israel imebanwa sana na hata usiano kua mbaya kidogo ni kipindi cha huyu jamaa obama
 
Mbona naona kama kwa kipindi israel imebanwa sana na hata usiano kua mbaya kidogo ni kipindi cha huyu jamaa obama


Israeli haijawahi kubanwa na USA ila kunatokea tu Kiongozi fulani wa USA anakuwa haendani na Kiongozi aliyopo wa Israeli (kiitikadi) kama ilivyo sasa Netanyahu na Obama hazipandi kihivyo kwa maana Obama ni liberal Netanyahu ni conservative ndiyo maana wanagongana lkn haimaanishi kwamba USA imeiwekea ngumu Israeli hilo haliwezi kutokea!
 
Barbarosa na Obama! Sijui alikunyima nini huyo mtu maana kutwa kucha kumshambulia humu jukwaani.
 
Naona awam
Mbona naona kama kwa kipindi israel imebanwa sana na hata usiano kua mbaya kidogo ni kipindi cha huyu jamaa obama
naona awamu hii America imakuwa na amani na mashambulizi machache zaidi hasa baada ya ujio wa Makundi ya ISIS and allies
 
All American presidents are the descendants of Emperor Charlemagne of the Holy Roman Empire that's that
 
Back
Top Bottom