Obama amemuumbua Rais Kikwete

Kikwete takes center stage at UN and US meetings
Mdondoaji
user_online.gif
Yesterday, 10:31 PM
Posted Monday, September 28 2009 at 08:00

With the Obama administration having sent off Kenya for corruption and impunity, Tanzania has emerged as East Africa’s star player on the US pitch.

It was Tanzania’s President Jakaya Kikwete rather than Kenya’s Prime Minister Raila Odinga who commanded the spotlight in New York at last week’s opening sessions of the United Nations General Assembly.

The Tanzanian head of state was asked to initiate a discussion at a luncheon hosted by US President Barack Obama.

He outlined African agricultural issues at the two-hour meeting to which 24 African leaders had been invited.

Mr Odinga was not among them.

In a move humiliating to Kenya, the United States withdrew the prime minister’s invitation to the Obama luncheon, with American officials later attributing the reversal to a technical error.

But it seems clear that Obama and his team are keeping their distance from Kenya’s leaders as a signal of US displeasure over the Grand Coalition’s failure to attack graft and to hold accountable those responsible for the killings following the 2007 election.

President Kikwete was meanwhile heaping praise on the US government, unveiling a pan-African anti-malaria initiative, pledging to commit more troops to UN peacekeeping efforts, and preparing for his featured role at a corporate conference in Washington next week.

In comments on the sidelines of last week’s UN sessions, President Kikwete described Tanzanians as “grateful recipients of generous support from the government and people of the United States.”

He was referring to the five-year, $700 million development package awarded to Tanzania in 2008 through the Millennium Challenge programme.

It is the single largest of $6.9 billion in anti-poverty grants that the US has given to 19 countries since the inception of the conditioned aid initiative in 2004.

President Kikwete also orchestrated a gathering of several African leaders at the UN to announce formation of an alliance dedicated to halting the scourge of malaria within five years

For more on the story go to The East African.

Well sometimes we have to give credit to the guy he is doing his best to promote our country. Kenyans have been at the centre of the stage for so long now i think it is our turn.

Brave Mr Jakaya Kikwete

Mdondoaji
Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png

green.png

green_right.png
Join Date: Tue Mar 2009
Posts: 37
Thanks: 6
Thanked 12 Times in 10 Posts


report.gif
Report Post
subscribe.gif
Subscription
printer.gif
Show Printable Version
sendtofriend.gif
Email this Page
reputation.gif
Add to Mdondoaji's Reputation
 
Kikwete ameshambuliwa vibaya sana kuhusu serikali yake na hali ya Zanzibar ila katika kutaka kujinasua amesema eti serikali yake haihusiki ,kinachohusika ni Chama Chake.
Eti mambo ya Zanzibar yanahusu Vyama sio serikali ,hivi wale wanaotolewa roho kule serikali haihusiki ? Lakini ameonywa na kaahidi kabla ya 2010 atashughulikia nafikiri amewaondoa UN njiani ,jamaa si mkweli.
your right bro, hapo ndo imetoka hiyo
 
Rais wetu kukimbia tatizo si suluhu... watanzania watamhukumu kwenye uchaguzi kwa kuwa yeye ni mwenyekiti wa chama kilichopo madarakani pia...
 
Mimi naona kichwa cha habari hizi kingekuwa OBAMA AMUUNGA MKONO kIKWETE.

Jinsi JMK alivyo mstari wa mbele na anavyoshughulikia mafisadi na ufisadi systematically, anastahili kila sifa na kuungwa mkono. Obama nna uhakika analijuwa hilo na ndio maana tukaona JMK akiweka rikodi ya kuwa Mkulu wa Kwanza kutoka Africa kukaribishwa na Rais wa kwanza wa USA mwenye asili ya Ki Afrika.

Mwandishi wa hii makala hata aiparaganye vipi kutaka kumponda JMK, haikai.

Nijuavyo mimi kichwa cha habari sio kazi ya mwandishi. Hiyo ni kazi ya editor. Na ktk kupata yote hayo kuna factors kibao wanaangalia(gate keeping etc) including policy ya press house. Sasa wewe kama unataka habari iwe na kichwa cha habari fulani anza gazeti lako weka unavyotaka. Hilo sio lako sasa sio lazima wafanye utakavyo,but the audience/readership is wider than you think. That's why they sell this story!
 
Kuna kipindi kilikuwa BBC - IS AFRICA POOR?
Jibu lilikuwa rahisi - Africa is not poor but it is poorly managed!
Mtayarishaji kuna wakati alimnukuu mwekezaji mmoja toka marekani akisema - tunawaunga mkono viongozi wa Africa kwa kuwa wanatekeleza matakwa yetu - period; yaani si kwa kuwa wana-manage vizuri nchi zao!
 
duh jamani mimi naona hapa naona labda tuendeshe serikali ya kijeshi
 
Back
Top Bottom