Hii ni dhahiri kuwa unawaelewa sana.kwa kawaida wazungu,wanakasirika zaidi pale mweusi anaposhindwa kufanya kile walichotarajia
hasira zao zinakuwa mara mbili ya mzungu ,kama ni mzungu ameshindwa
Nimemaliza kuangalia debate ya GOP presidential hopefuls on CNN. Kutokana na hali ya uchumi inavyodorora hapa US kwa sasa, na unemployment rate bado iko 9.1%, kwa kusema kweli kama hakuna mabadiliko yoyote ya kiuchumi na kama unemployment itabaki around 9% in the next 12 months, basi mjaluo amekwisha na atakuwa one-term prez.
Najua wengi tunampenda Obama lakini the fact of the matter ni kwamba uchumi unamshinda na anakoelekea sio kuzuri. Kazi ipo.
mkuu ni chama kipi kilicho ua uchumi hapa usa? Na ni chama kipi chenye utamaduni wa kuua uchumi hapa usa?
Sawa ndugu, na wewe usitake kuwachagulia watu kitu cha kufanya maana hapa kuna majukwaa mbalimbali. Nitashangaa kama kuna watu wanachangia kila jukwaa. Natarajia mtu achangie kutokana na interest zake ktk jukwaa fulani. Watu wanaochangia mambo ya nje wawe huru.lakini pia usitufanye watumwa wa akili wa kuangalia na kushabikia ya wengine huku tukisahau au kudharau ya kwetu.
Americans like results and not likability. I can bet with you if you are ready. If the current state of the economy and the rate of unemployment remain the same till November next year, then your beloved Jaluo will be a one term-prez.
Kumbe na US kuna bwana mapesa? Lol!. Siasa za Marekani one day is more than a year. It is too early to bet on the presidency of Obama. GOP wamepewa House tokea waingie hawaibuka na idea hata moja ya kukuza uchumi, zaidi ya kukazania ku-repeal everything Obama did, Ila sijui kama watahitaji kumrudishia Uhai na OBL. Their strategy is very clear to defeat Obama, ila subiri Kampeni zianze watu waanze kupewa ukweli wa mambo. USA walifanya makosa sana kuwakabidhi GOP House of representative katika flagile time. Watu sasa wamejua kuwa GOP is not for them but for the rich, Ukija kwenye suala la medicare ku-go Public ndiyo hapo utakapoona kuwa siasa za marekani ni ngumu. pundits wanabishana kila kona na ukiwasikiliza unaweza amini kuwa Obama sasa is over au GOP hakuna strong candidate. Ngoja apatikane mmoja upande wa GOP wa kukabiliana na Obama hapo ndipo utajua maana ya Omera!
Mkuu utatoa wapi fweza za kampeni if you are not likable? Maana hela ya kampeni inaplay role kubwa probably kuliko factor nyingine yeyote ile in the american politics. Can you mention one elected president at least for the last 40 years who won the elections with low levels of likability. And remember nimesema hii ni the other big factor and not the only factor. Halafu kitu kingine ukiwasikiliza vizuri hao wagombea to be wa repubs wanakampaign na sera zile zile zilizoufuikisha uchumi hapo ulipo. Voters need substance and specifics about how you gonna take the economy outta the deep ditch and not how much you don't like obama.
kwa kawaida wazungu,wanakasirika zaidi pale mweusi anaposhindwa kufanya kile walichotarajia
hasira zao zinakuwa mara mbili ya mzungu ,kama ni mzungu ameshindwa
Nobody did like Richard Nixon, but was elected anyway
Mkuu, naweza kukubaliana na wewe kwenye iliObama ni dhahiri atashinda Kiurahisi sana mwaka 2012. GOP hawana candidate mwenye sifa, smart, experience than Obama. Also, GOP hawana sera zaidi ya Tax cut for the rich, deregulation etc.
Namkumbuka sana Scott Brown and his so called golden vote ahaha ahaha ahaha!
Hasa huyo Mr Nice ndo kabisaa, hata akiongea hakuna hata anayemsikiliza~anabore kichizi yaani!.Mormon & Mr. Nice (wa Minnesota) hawapati kitu. Labda wajitokeze wengine
mimi sioni tatizo kwa mtanzania kuwa usa,kila mtu ana haki ya kuwa popote pale apendapo pasipo kuvunja sheria ,kinacho tuzuia wengine tusiwe huko ni kupitwa pembeni na bahatihakuna cha wamarekani wala nini ni watumwa tu wa akili wanaoishi kwa ndoto za watu wengine