Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Sio malaika...Ujumbe ni kuishi na watu vizuri hata pale unapokua na mdaraka makubwa.( ukistaafu unadunda tu)samahani mkuu.. Kwani yeye ni malaika au Kuwa awe unique kiasi kwamba atofautishwe na binadamu wa kawaida!?..
Kumbuka yeye ni udongo kama sisi na mavumbini atatudi ikibidi.
Kawaida tu
Minadhani yuko tofauti hata udongo wake ni watofauti na wa marais wengine. Jamaa kamlinganisha na marais wa Afrika nahisi hajaona anaeweza vaa viatu vyake.... mmmh bara la Asia na Ulaya hakuna. Marekani kwenyewe naamini hata mimi naunga mkono jamaa ni wakipekee!samahani mkuu.. Kwani yeye ni malaika au Kuwa awe unique kiasi kwamba atofautishwe na binadamu wa kawaida!?..
Kumbuka yeye ni udongo kama sisi na mavumbini atatudi ikibidi.
Kawaida tu
Hii comment yako imependezaPumba tu nasubiri Luis Shika achangie ndyo nitarudi tena
Ukiwatendea mema watu huwezi kuishi kwa hofu.Sio malaika...Ujumbe ni kuishi na watu vizuri hata pale unapokua na mdaraka makubwa.( ukistaafu unadunda tu)
Kagame na...... hawatoishi hivyo Dunia hii.
Nimewaza relativity ya trump na magu nikacheka sana,hakika awamu hii marekani na tz tumeingia ndani na siafu.Kikwete wa Wamarekani!
Nimewaza relativity ya trump na magu nikacheka sana,hakika awamu hii marekani na tz tumeingia ndani na siafu.