Obama akiwa kanisani

Ni mbaguzi, alisilia kubwa ya waumini kanisa hilo ni weusi ila suti yake kiboko.
 
Ni mbaguzi, alisilia kubwa ya waumini kanisa hilo ni weusi ila suti yake kiboko.
Lakini ukiangalia na hizo picha nyingine utagundua kajichanganya kotekote. Kanisa lenye blacks and whites wengi
 
Mkuu wa nchi yupo kanisani na wala hajakaa mbele.

Nini maoni yako kuhusu hii picha??
hapo nusu ya kanisa watakuwa ni secret service, angalia walio nyuma yake hawaimbi wala hawana vitabu mikononi.
 
Ni mkatolok au?
Wacha hiyo wa tano kulia kuhota OBAMA nimeuona zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…