Mara nyingi marais wastaafu wa Marekani huwa HAWAJIHUSISHI hata kidogo na masuala ya kisiasa punde wakiachia uongozi.Labda kusaidia kampeni wakati wa uchaguzi tu.
Habari za hivi punde zinashangaza baada ya Obama kutoa taarifa ya KUMLAUMU Trump katika hatua zake za kuweka saini MAAGIZO ya rais/EXECUTIVE orders mbali mbali ikiwemo hii ya kuzuia wakimbizi kutoka mataifa saba yanayodaiwa kuwa na ugaidi.
Katika taarifa yake, Obama ameiita hatua hiyo kama ni UPUZI mkubwa.
Si kawaida kwa marais wa marekani ku comment kutokana na utendaji kazi wa walio waachia uongozi. Hii ni ajabu sana!
Katika taarifa yake Obama ameunga mkono MAANDAMANO ya kupinga maagizo ya rais Trump na akasema yana MTIA MOYO na yaendelee!
Ikulu ya White House bado haijatoa tamko la kiserikali kujibu shutuma za Obama.
Sijui ni hatua gani ambayo Trump atachukuwa dhidi ya Obama.
Maana hii itakuwa ni kama UCHOCHEZI dhidi ya serikali ya Trump!
Chanzo: CNN