Walioishia la 7A wataolewa na nani?At least awe amefika form four..narudia tena at least awe amefika form four.
As far as unajali future ya watoto wako,oa mwanamke mwenye elimu...
Hy ni kweli kbsa tatzo wenye akili na upeo ni wachache hawaonekanag kirahis aisee
Mambo yamebadilika malezi Yamekuwa magumu Sana Kwa watoto wa kizazi hiki ni kweli ni muhimu kuangalia mtu wa kuzaa nae sio tu mwanamke hata mwanaume ulikosea step ndo umeangamia mazima maana uzao ukishakuwa wako haibadilishikiMtu wakuzaa nae watoto lazima achaguliwe kwa umakini, bila hivyo unaweza juta sana mbeleni.
Ila kufika Form 4 sio kigezo maana hata kilaza anaweza akafika.
Subiri dada wa la Saba tupite 😂Kwahiyo wenye elimu tuanze kuringa au ndo mapema mno?
Mie bado wataniambia kaburi la baba wa mtoto🙄Subiri dada wa la Saba tupite 😂
Unamaanisha?Lessoning
Mringe na mtaachika baada ya kuonyesha ujuaji kwenye ndoa....?🫣Kwahiyo wenye elimu tuanze kuringa au ndo mapema mno?
🤣🤣🤣Kwani zinadumu sasa🙄Mringe na mtaachika baada ya kuonyesha ujuaji kwenye ndoa....?🫣