Nzega CCM Imeshinda Bashe alaaniwe


M

M-bongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
338
Likes
12
Points
35
Age
48
M

M-bongo

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
338 12 35
wana Jf nina mlaani kwa yeye kufanya jimbo hili lirudi mkononi mwa ccm.
matokeo ya ubunge ni kama yafuatayo
CCM 20,470
CHADEMA 8,056
CUF 5,833
Kwa mantiki hiyo ccm imeshinda kwa 58% na wana mabdiliko 42% Hussein bashe alikuja nzega siku 12 za mwisho na kuanza kuzunguka ktk vijiji na kata mbalimbali na kuwaomba wananchi wa nzega waichague ccm hili jambo lilifanya kambi yote ya upinzani ambayo ilikua inatumia hoja ya Bashe kama turufu ya Ushindi kupoteza muelekeo na jimbo hilo kwenda ccm tena.
la kufurahisha kata ya nzega mjini walimwambia BASHE tunakuheshimu tuache tufanye maamuzi hii ni kata ambayo iliamua kupeleka kura zote URAIS,UBUNGE NA UDIWANI UPINZANI.
Bashe kwa kitendo hiki kwa niaba ya wana mabadiliko nzega tutamlaani mpaka kufa na urafiki wangu na yeye umekufa.
 
dwight

dwight

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
459
Likes
20
Points
35
dwight

dwight

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
459 20 35
Si lazima kila mpinzani awe CHADEMA!
 

Forum statistics

Threads 1,252,302
Members 482,076
Posts 29,803,254