Tafuta mafuta ya T444 check website yao .. mafuta mazuri sana tu .. kopo ni Tshs 40,000/-
yamekuwa hayo jmn bac sorry, me naomba tuu ushauri, suala la kunyoa labda ni uamuzi wa mwisho coz cjapenda hilikama ulishaamua hapana usingeweka kwenye post yako.....uamuzi ni wako kwa kuwa pia kichwa ni chako sisi tunakushauri hatukuambii fanya hivi!!
mawigi mazuri nitayapata wapi dada angu? labda nishauri hilo kwanza, coz nikifikiria kunyoa nafikiria na kuacha kichwa waznyoa afu tafuta mawigi yako mawili mazuri uwe unavaa,zikianza kukua suka za mkono huku unaendelea kuvaa wigi,kama unaogopa kunyoa na kuacha kichwa wazi.
hapo itakuwa hakuna kuchekana, tutasuka tuu za mkonowifi yangu bana!kaka kakuchunia maana unarukaruka mno ila haachi kukupenda maana ndo kafika hivyo!mie mzima kaa mkao wa wk end,,,,,,hebu assume ikatokea hakuna mawig,weaving,relaxer,au hata rasta za kusuka kitatokea nini kwa wanawake?
niko dar kwa sasa, mawigi nilinunua ya elfu20 hayakuwa mazuri , labda nitafute mengine ila yasifike laki moja ndio uwezo wanguPole sana mpendwa kwa lililokusibu wengi hukutwa na hali kama yako pindi wanaposuka mtindo huo wa kimasai,ila kwasababu umesema hutaki kunyoa japo kuna mitindo mbalimbali ya kunyoa ambayo ungependeza sana ,na hata kama ukinyoa basi unaweza kuvaa wigi kama ulivyopendekeza mwenyewe,kama hutaki kufunga lemba, sijajua upo mkoa gani lakini unapoishi unaweza kupata weaving la gharama utakayomudu endapo utapita kwenye maduka ya urembo/vipodozi.
Na pia unaweza kutumia vitu vya asili kama parachichi,,samli kama steaming pia.
Kingine kuna shampoo nyingi ambazo zinatumika kwenye saloon zipo chini ya viwango na huchangia pia kuharibika kwa nywele hivyo uwe makini na hilo.
Uzuri unao ila tayari umeshajitia kasoro mwenyewe kuwa una kichogo,kichogo si kasoro bali ni jinsi Mungu alivyokuumba
nimekusoma dada angu , nitatembelea hizo dawa s h amon kwanzaTafuta full package ya profectiv.
Inauzwa laki na.
Nenda s h amon.
Halafu nasikia tabata kuna madaktari wana vipimo maalum vya nywele.
Sina details zaidi ila kama utahitaji nipm nikutaftie details zaidi kuhusu dokta.
Ushauri mwingine ni kunyoa ingawa ushaukataa ila nywele nazo zina kikomo cha kukua kwahyo bora uanze upya.
Sorry nilikuwa napita tu ila nimecheka sana hapo kwenye kisogo. Ungekuwa wakiume hicho kisogo ungekifichaje?
usipite. Pata maujanja hapa.
Unaweza ukapata mke ana kipara na kisogo hicho.
okay basi kwa ruksa yako nimeamua kuweka kambi kabisa.