niwaellyester1
Senior Member
- Sep 7, 2010
- 123
- 22
niwaely pole sana,,,ila michelle amekueleza vema,,naweka tu msisitizo kny kujikubali,umesema ukinyoa uzuri wako utaharibika!sitaki kuamini kuwa ulipokuwa na nywele fupi ulikuwa mbaya!na huo ubaya ukoje cjui pia,,,kifupi ni kuwa jikubali na jiamini either kwa kuwa na nywele fupi au ndefu bado ww ni mzuri,,,kwa tatizo ulilo nalo kama umeweka relaxer acha iishe kny nywele then punguza nywele zako kwa level ambayo utaona zimelingana,,,ukipenda waweza kuwa unasuka zaidi na uwe selective kny steaming,hair fertilizer,conditioner na shampoo kulingana na nature ya nywele zako.gud cheer
nywele zangu ni chache sana, natumiaga dark in love ya boxKwnz nywel zako ni nyingi au nyepesi(chache)? Ulikuw una2tumia dawa gan?
nywele zilianzia kukatika nilivyosuka kimasai, baada ya hapo hazijaendelea tena , nikisuka yeboyebo zinawahi kufumuka coz za mbele hazipo, na njia 3 nazo zinazidi kunikata nywele, na hapa kichwani nina weavinga na kwa sasa ndio nayasuka sana coz zinafunika pale palipokatika, kuusu kunyoa dada angu hapanaPole sana Niwaely....Nywele kukatika kuna sababu nyingi....matunzo duni,kutumia kemikali sana,stress,upungufu wa vitamini na madini fulani ya kurutubisha nywele na haya ma weaving,wig kila kukicha kiasi kwamba hata hewa hazipati na mwanga wa jua,au pengine ujauzito au menopause....na pia magonjwa.....ushauri wangu,jaribu kwanza kujua chanzo cha kukatika nywele ni nini?? kubadili mafuta?usafi duni,stress au? ukishajua,waweza shaurika....
Kuhusu kunyoa...might be a good solution kama wewe ni mtumiaji wa kemikali na msuka ma weaving sana au una magonjwa ya ngozi...kichwa kibaya si chako bana? ukiwa unatafuta suluhisho la tatizo lako usiangalie watasemaje....watakaosema hawapati adha unayopata.....so nyoa kama unaweza.......be proud of yourself hata kama una milima na mabonde hakuna atakayekusaidia kujikubali na kujipenda ni wajibu wako vyovyote vile ulivyo......!!!!
nataka nijitahidi hapa zaidi , inshort me kichwa changu kina kisogo so hata nilivyokuwa cna nywele enzi zile nilikuwa cjipendiniwaely pole sana,,,ila michelle amekueleza vema,,naweka tu msisitizo kny kujikubali,umesema ukinyoa uzuri wako utaharibika!sitaki kuamini kuwa ulipokuwa na nywele fupi ulikuwa mbaya!na huo ubaya ukoje cjui pia,,,kifupi ni kuwa jikubali na jiamini either kwa kuwa na nywele fupi au ndefu bado ww ni mzuri,,,kwa tatizo ulilo nalo kama umeweka relaxer acha iishe kny nywele then punguza nywele zako kwa level ambayo utaona zimelingana,,,ukipenda waweza kuwa unasuka zaidi na uwe selective kny steaming,hair fertilizer,conditioner na shampoo kulingana na nature ya nywele zako.gud cheer
b shoct nahic kufunga vitambaa cpendezi, nikinyoa labda nivae wigi, ila nitalipata wapi wigi zuri? affordableNyoa tu mpendwa uanze moja wakati zinaota unaweza kufunga vitambaa kwa style nyingi tu ... i hope utapendeza
nywele zilianzia kukatika nilivyosuka kimasai, baada ya hapo hazijaendelea tena , nikisuka yeboyebo zinawahi kufumuka coz za mbele hazipo, na njia 3 nazo zinazidi kunikata nywele, na hapa kichwani nina weavinga na kwa sasa ndio nayasuka sana coz zinafunika pale palipokatika, kuusu kunyoa dada angu hapana
nywele zilianzia kukatika nilivyosuka kimasai, baada ya hapo hazijaendelea tena , nikisuka yeboyebo zinawahi kufumuka coz za mbele hazipo, na njia 3 nazo zinazidi kunikata nywele, na hapa kichwani nina weavinga na kwa sasa ndio nayasuka sana coz zinafunika pale palipokatika, kuusu kunyoa dada angu hapana
b shoct nahic kufunga vitambaa cpendezi, nikinyoa labda nivae wigi, ila nitalipata wapi wigi zuri? affordable
asante kwa msisitizo wifi mpendwa....natumai hujambo...kaka yako hajambo?kanichunia!
wifi yangu bana!kaka kakuchunia maana unarukaruka mno ila haachi kukupenda maana ndo kafika hivyo!mie mzima kaa mkao wa wk end,,,,,,hebu assume ikatokea hakuna mawig,weaving,relaxer,au hata rasta za kusuka kitatokea nini kwa wanawake?
wifi mbona sasa hivi nimetulia....au wataka kuniambia hujaona nilivyokuwa mpole?.....nimekaa ki wikiendi tayari.....mimi hayo mavitu kwa nadra sana...labda nina event inayonilazimu......kusema ukweli wifi visingekuwepo ningefurahi,manake watu tunatumia hela nyingi sana kwenye hayo mambo na kuumia pia.....life would have been better!!!
hahaha!nimeona mpenzi nilitaka tu nikupime unajihamini kiasi gani,,ama kweli kaka kapata,,sa kumi na moja basi tuchekiane kaka atakuwa amerudi kutoka loli......
hakuniaga anaenda huko?ana tatizo gani tena wifi? nafurahi umeona juhudi zangu....ndo maana nakupenda!!