Frequency ya kunyoa inategemea na ukuaji wa hayo mavuzi otherwise for a normal human being mara mbili kwa mwezi naona iko njema.
Kumbuka nywele houta as a result of dead cells so kama kama wanyoa mara 2 kwa mwaka then rate ya kufa kwa seli hai zako ni ndogo sana such that na nywele zaota slowly.
Ni case ya kawaida kuna jamaa hunyoa nywele za kichwani kila baada ya 2 years wakati wenzake miezi 3 inakuwa Afro Shiraz