ldcecane New Member Joined Oct 23, 2016 Posts 1 Reaction score 0 Jun 11, 2017 #1 Heshima kwenu wakuu. Ninahitaji kununua nyuzi za mkonge kutoka mkoa wowote uliopo karibu na Dar es Salaam. Naomba anayejua kiwanda kinachozalisha nyuzi hizo au wakulima wanaouza nyuzi hizo na bei kwa kilo moja. Asanten sana.
Heshima kwenu wakuu. Ninahitaji kununua nyuzi za mkonge kutoka mkoa wowote uliopo karibu na Dar es Salaam. Naomba anayejua kiwanda kinachozalisha nyuzi hizo au wakulima wanaouza nyuzi hizo na bei kwa kilo moja. Asanten sana.