Nyuzi /Mada zilizobamba mwaka 2017

Wimsha

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
518
Reaction score
504
habari wana jukwaa

Wakati tukiuanza mwaka mpya si vibaya tukijikumbusha nyuzi na mada zilizokuwa hot mwaka uliopita. kwa maoni yangu nilitegemea Mods atuletee mchanganuo bora zaidi.
Kwa upande wangu nyuzi au mada hot zilikuwa kama ifuatavyo

1. Forex
2. Vibamia
3. Inteview za Daby
4. Mauaji ya Rufiji
Ongezea za kwako

karibuni
 
Deo kisanduuu!!!! Aah umesahau bashiteee .... Kuleta vyetiii
 
Bashite bana...ilikuwa hot hadi mtu kulia kanisani.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…