Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,254 Sep 11, 2015 #21 Kituru said: Wana tabia ya kufuatana hata kwenye hatari wanakufa wengi sana kutokana na ujinga. Click to expand... Naona mmefika mbali sasa kiasi hata cha kukosoa uumbaji wa Mungu, je unauelewa kidogo wa kitu kiitwacho equal system?
Kituru said: Wana tabia ya kufuatana hata kwenye hatari wanakufa wengi sana kutokana na ujinga. Click to expand... Naona mmefika mbali sasa kiasi hata cha kukosoa uumbaji wa Mungu, je unauelewa kidogo wa kitu kiitwacho equal system?
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Sep 11, 2015 #22 Sasa nimeelewa
Lusajo11 JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 1,887 Reaction score 1,970 Sep 11, 2015 #23 Nyumbu wanapenda mabadiliko. Wakikosa green pastures hapa wanatafuta kule
gnassingbe JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 4,826 Reaction score 3,583 Sep 11, 2015 #24 njiwa said: Pia wanamfuata aliye mbele... What if he is leading them to a trap? Kwa hiyo ukawa ni akili za nyumbu? Click to expand... Hapana ukawa sio nyumbu.Nyumbu ni mamake na mleta post.
njiwa said: Pia wanamfuata aliye mbele... What if he is leading them to a trap? Kwa hiyo ukawa ni akili za nyumbu? Click to expand... Hapana ukawa sio nyumbu.Nyumbu ni mamake na mleta post.
njiwa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 13,258 Reaction score 7,101 Sep 11, 2015 Thread starter #25 gnassingbe said: Hapana ukawa sio nyumbu.Nyumbu ni mamake na mleta post. Click to expand... kwanini unasema mleta post ni nyumbu, amefanya kosa gani...? hajatukana mtu wala hajafananisha yeyoye na nyumbu....
gnassingbe said: Hapana ukawa sio nyumbu.Nyumbu ni mamake na mleta post. Click to expand... kwanini unasema mleta post ni nyumbu, amefanya kosa gani...? hajatukana mtu wala hajafananisha yeyoye na nyumbu....
C christmas JF-Expert Member Joined Jul 21, 2011 Posts 2,701 Reaction score 1,280 Sep 11, 2015 #26 hahahaha vibaka wa ccm sasa mmeshikwa pabaya adi mnaleta mada za kujifariji wenyewe kwa wenyewe. MTAACHIA TU VIVA UKAWA
hahahaha vibaka wa ccm sasa mmeshikwa pabaya adi mnaleta mada za kujifariji wenyewe kwa wenyewe. MTAACHIA TU VIVA UKAWA
gnassingbe JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 4,826 Reaction score 3,583 Sep 12, 2015 #27 njiwa said: kwanini unasema mleta post ni nyumbu, amefanya kosa gani...? hajatukana mtu wala hajafananisha yeyoye na nyumbu.... Click to expand... Kwani mie nimetukana? wala sijasema mleta post ni nyumbu rudia kusoma vizuri post yangu.
njiwa said: kwanini unasema mleta post ni nyumbu, amefanya kosa gani...? hajatukana mtu wala hajafananisha yeyoye na nyumbu.... Click to expand... Kwani mie nimetukana? wala sijasema mleta post ni nyumbu rudia kusoma vizuri post yangu.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Sep 12, 2015 #28 Lusajo11 said: Nyumbu wanapenda mabadiliko. Wakikosa green pastures hapa wanatafuta kule Click to expand... Sawa kabisa.........na pia hawapendi kuburuzwa.......kama mvua hainyeshi hawazai.......wanahold......mpaka kieleweke........ nyumbu safi sana....
Lusajo11 said: Nyumbu wanapenda mabadiliko. Wakikosa green pastures hapa wanatafuta kule Click to expand... Sawa kabisa.........na pia hawapendi kuburuzwa.......kama mvua hainyeshi hawazai.......wanahold......mpaka kieleweke........ nyumbu safi sana....
Waterloo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 25,351 Reaction score 38,941 Sep 18, 2015 #29 Preta said: Sawa kabisa.........na pia hawapendi kuburuzwa.......kama mvua hainyeshi hawazai.......wanahold......mpaka kieleweke........ nyumbu safi sana.... Click to expand... Lakini maelfu ya nyumbu hufa kila mwaka kwa kuliwa na mamba kutokana na ujinga wao wa kukimbizana mtoni bila kujali hatari iliyoko mbele yao.
Preta said: Sawa kabisa.........na pia hawapendi kuburuzwa.......kama mvua hainyeshi hawazai.......wanahold......mpaka kieleweke........ nyumbu safi sana.... Click to expand... Lakini maelfu ya nyumbu hufa kila mwaka kwa kuliwa na mamba kutokana na ujinga wao wa kukimbizana mtoni bila kujali hatari iliyoko mbele yao.