Nyumbu

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Sifa ya nyumbu ni kufuata bila kutumia akili. Kwa misingi hiyo basi wote wanaopenda kuwaita wenzao wa chama pinzani 'nyumbu' ni nyumbu wenyewe maana wanashabikia neno bila hata kutafakari. Wanafuata mkumbo tu, ndio unyumbu wenyewe

 

Wale wanaowaita wenzao 'mafisiem' wanaitwaje?
 
Unamaanisha hata wenye kazi hizi ni nyumbu ???? ( maana wenyewe ndio wafuataji wakubwa wa amri iwe nzuri au mbaya wao ni kufuata tu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…