Nyumbani kwetu Kilombero

Unakaa kilombero sehemu Gani?
Umenikumbusha ruaha, aseh shule yangu lyahira primary school, nimecheza sana kwenye miwa
Kwel old is gold
 
Niliwahi kula mbuzi choma mitaa ya chita
 
Duh! Umenikumbusha mbali sana. Hapo kwenye kiwanda cha sukari nilifika mwaka 96/97 hivi... Long time sana. Ni zaidi ya miaka 20 sasa. Mwezi ujao itabidi nipige trip ya Kirombelo...
 
Hili daraja limejingwa mwaka 1932 na makaburu.
[/QUOTE]

VP hapa mkuu nilikamatwa kwa kosa lakuphotoa daraja hili wewe kwako naona kama imekua rahisi vp ni taratibu gani ulizifuata?
 
Utukufu kwa Mungu juu ni mahali npazuri sana. Mbarikiwe mmetunza mazingira sana .
 
Nimekumbuka nilivyoenda kumfuata dem wangu Warda mke wa diwani Rama. Nikalala mbega resort. Ndio mara yangu ya kwanza kufika kilombero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…