Nyumbani kwenu mnatumia umeme gani, Single Phase au Three phase?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,151
Reaction score
20,068
Nyumbani kwako unatumia umeme gani, au ukiomba umeme tanesco utaomba umeme gani, three phase au single phase?

Single Phase.

sinngle plv.jpg
single phase.jpg
sinngle plv.jpg

Three Phase.

tphv.jpg
three phase.jpg
three plv.jpg
uda.jpg
 
Muafrika atabaki kuwa Muafrika tuu hata asome na kukaa nje ya nchi vipii.

Kwa kiufupi hata kama wanasema wanawake bombardier ni wa show fupi na wakaoa aina ya madam Obama.... utaona akitoka na kukutana na bombardier original ute unamtoka hehehehehehe.

Japo kuna kipenda roho ila wale wanaojidai hawapendi hayo madugude kwa kutamka mdomoni huku akili yake inahamia chini pale anapokutana na bombardier ya kike na matokeo yake anaanza kuweka mikono mfukoni au kujaza funguo na betri za national zile kubwa na simu ili kuficha mfadhaiko.

Afrika Bambataaaaa ndo mpango mzima. Hakika wanaume mnafaidi.

Back to the topic mie natumia umeme wa solar.
 
Iwe sola au umeme wa tanesco lazima iwe ni single phase au three pase, huo ni mfumo wa umeme wa nyumba yako bila kujali unatumia jenereta, sola au wa Tanesco, Je hiyo Solar yako ninatoa umeme wa Single Phase au Three phase?
 
Hiyo picha yako ya mwisho "hilo bomba linafaidi".
 
Iwe sola au umeme wa tanesco lazima iwe ni single phase au three pase, huo ni mfumo wa umeme wa nyumba yako bila kujali unatumia jenereta, sola au wa Tanesco, Je hiyo Solar yako ninatoa umeme wa Single Phase au Three phase?

Mie ni quarter phase sina matumizi makubwa... heheheheh
 
Back
Top Bottom