Juzi nilikuwa nawatch habari..kufika habari za michezo na burudani..ikaja habari ya mchakato wa miss kitongoji nanihiii..loh jamani hao visura mmh...mtu anavyojitambulisha tu unamuonea huruma,akitabasamu ndo unatamani umuambie usicheke sana meno yako hayajakaa vizuri..utapenda sasa akiondoka akiwa amejibinua huo mgongo(haswa ukute aliyeacha maungo yake wazi) hivi nyumba zingine mbona huwa mnamponza mwenzenu akashiriki haya mambo kwa kumsifia kumbe mnamchora?yaani kama unaangalia ze comedy