Nyumba zinauzwa

Nyumba zinauzwa

Joined
Nov 25, 2013
Posts
56
Reaction score
9
Kuna nyumba za kutosha zinauzwa maeneo ya mikocheni, kwa bei tofauti kutokana na ubora wa nyumba, na nyingine zinauzwa maeneo tofauti kama unataka kununua lakin hujuwi pa kuzipata na unataka kuziona
Wasiliana nami kwa simu
0716 85 06 95
Ili nikuwezeshe kuziona na ukizikubali ununue
Information is power
 
Dalali magumashi utamjua tu. Hauko direct kutaja kilichopo... Mfano aina ya nyumba, ukubwa, idadi ya vyumba, ukubwa wa uwanja, upatikanaj wa mahitaj ya lazima kama barabara, maji, umeme, bei ya nyumba + picha. Ipende kaz yako.
 
Sasa zote nitazi describe hapa patatosha si utakuwa waraka wabongo tunajua kupinga tu kila kitu
 
funguka watu wakupe pesa, describe chache chache si nikutumia akili bwana, sasa utapataje mnunuzi bila kudescribe??
 
Back
Top Bottom