Nyumba mbili zina uzwa dodoma... Eneo zilipo nyumba hizi ni Ntuka... Una pita Uzunguni, Kilimani (Kijiji cha mwalimu Nyerere, Ikulu iliyo jengwa kwa ajiri ya mwalimu na vijana wa JKT)
una panda mlima wenye minala inayo onekana ukiwa sehemu yoyote Dodoma mjini au ukiwa una ingia dodoma mjini
Karibuni, kila Nyumba ni 50M... naambatanisha na picha... kila nyumba ina vyumba vinne (4), ukitaka moja au zote karibu...
makabidhiano tuta kabidhiana kwa mwanasheria kwa usalama wako na wangu pia...! kama una mwanasheria wako itakuwa ni jambo jema... ukitaka kuja kuziona au kujilizisha basi tutafutane...! Namba 0718440828