Nyumba Zinapangishwa Mbezi Mwisho

ExpertBroker

JF-Expert Member
Jun 1, 2009
454
107
Ni eneo la Mbezi Mwisho karibu na Mbezi Luxury Resort! Unawezapita Mbezi Kimara au Goba kupitia Makongo juu
  1. Vyumba vitatu, choo, jiko na sitting room, hizi ziko nne (Bei Shs 300,000 kwa mwezi)
  2. Vyumba viwili, choo, jiko na sitting room, hizi ziko mbili (Bei ni shs. 250,000 kwa mwezi)
  3. Vyumba viwili, choo, jiko na sitting room, hii iko moja (Bei ni shs. 200,000 kwa mwezi)

Photo0001.jpg Photo0003.jpg Photo0004.jpg Photo0005.jpg Photo0006.jpg Photo0007.jpg Photo0009.jpg
Nipigie 0784 003 000 au 0715 858 245 kwa ajili ya kuona na kupanga
 
Kuna water reserve tanks za kutosha kwa kila unit na kila nyumba ina LUKU metre yake
 
3. Vyumba viwili, choo, jiko na sitting room, hii iko moja (Bei ni shs. 200,000 kwa mwezi)

Swali: Inaweza kupungua mpaka 180,000/=?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom