Nyumba zinapangishwa Kinyerezi mwembeni

washwa washwa

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
1,613
722
Habari wandugu, Nyumba mbili zinapangishwa. Moja sh 350,000 kwa mwezi na nyingine sh 300,000 kwa mwezi. Kodi inatakiwa ya miezi sita. Nyumba zote zina vyumba viwili vya kulala (kimoja masta), sebule, jiko, stoo,dining,tenki la kuhifadhia maji lita elfu 2. Hakuna fence ila usalama upo. Nyumba zipo umbali wa mita mia mbili kutoka barabara ya lami (Kinyerezi - Majumba Sita),kituo cha basi ni Mwembeni karibu na kwa Malisa.Kwa walio serious tuwasiliane - 0756 405305. NB: Price not negotiable! (Hakuna mazungumzo kuhusu kupunguza bei)
 
Mimi nina nyumba nakodisha hapa kweye bonde la jangwani ila ni ghali sana mwenyewe anataki laki tano kwa mwezi
 
Back
Top Bottom