washwa washwa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 1,613
- 722
Nyumba ziko mbili. Ya kwanza sh 350,000/= kwa mwezi na nyingine ni sh 300,000/=. Zote ziko ndani ya fence, self contained, Nyumba kubwa kiasi, room mbili za kulala,sebule,dining, jiko, stoo, zote zina balcony, alluminium windows, gypsum, umeme wa Luku wa kujitegemea. Hiyo ya sh 350,000 ni mpya hajawahi kukaa mtu. Eneo zilipo ni Kinyerezi Mwembeni (karibi na darajani) ni umbali wa mita mia mbili kutoka barabarani. Hakuna dalali na kuona ni bure. Call 0756 405305 au 0656 999444. Hakuna dalali na kuona ni bure. Karibuni sana!