Nyumba vyumba viwili vya kulala ( Kimoja Masta ), Sebule, Sehemu ya chakula, Jiko, Choo cha kushea.
Ndani ya fensi, Maji ndani, Umbali wa kutembea, Parking ipo, Garden.
Kodi - Tshs 500,000/=
Eneo - Mbezibeach Tangibovu, Bagamoyo road, Umbali wa kutembea.
Maelezo zaidi - 0716442950