Nyumba za NHC

Lilie1990

Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
7
Reaction score
1
Wadau habari, naomba kuuliza, utaratibu wa kupata chumba kwenye apartment za serikali za NHC ukoje? ,mfano apartment za shekilango, magomeni etc
 
Nimewahi siti ya mbele

Ova
 
mmh mpaka uje mtu ndio unaweza kupangua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…