Mnyiramba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,112
- 2,957
Binadamu wenzetu waishio Dunia ya kwanza linapokuja swala la makazi huwa hawana mbwembwe nyingi, hasa kwenye ujenzi wa nyumba kama sisi wenye kipato kidogo tuishio Dunia ya tatu!
Yaani mtu yupo radhi ajinyime hata kula ili ajenge nyumba ya milioni 50, matokeo yake mjengo unaisha lakini mwenye nyumba anaanza kuugua vidonda vya tumbo!
Tuache sifa za kijinga tujenge nyumba tu za kawaida zenye viwango vizuri!